Je, wasanii wanatambua misingi na sheria/miongozo iliyowekwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)?

Feb 6, 2024
40
50
Balaza la Sanaa la Taifa limekuwa likipokea simu za maswali na malalamiko kadhaa kutoka kwa waandishi wa habari na wadau wa Sanaa ambao kwa njia moja ama nyingine wameguswa na kuchukizwa na kazi za baadhi ya wasanii ambao wanaimba nyimbo zenye maudhui yasiofaa kwa jamii ama TAIFA letu la Tanzania kwa ujumla..

Muziki ya mamma hii nadhalilisha tasnia ya Sanaa bali inawafanya watu makini kuanza kuhoji hadhi ya msanii, weledi NA taaluma ya Sanaa kwa ujumla.

BASATA mara kadhaa limekuwa likikemea na kuchukua hatua kadhaa dhidi ya tabia hii chafu asili ya tasnia hii ya Sanaa ni kuelimisha jamii, kukosoa pale kunapokuwa na tatizo, kuburudisha na kujenga jamii yenye staha, umoja wa kitaifa, mshikamano na amani.

Ni wazi wasanii wengi wanafanya kazi zao vizuri, kwa kubuni kazi zenye ubora, zenye kujenga jamii na zaidi zinazoburudisha rika zote kiasi cha kuzifanya zililetee heshima taifa. Kati ya hawa wengi, kuna wachache ambao wanaipaka matope tasnia ya Sanaa na kwa kiasi kikubwa wanaonesha wazi kutokuwa na nia njema.

Agenda naiweka mezani.

Je, Nini kifanyike kulidhibiti hili.

SANAA NI KAZI TUIKUZE, TUILINDE NA KUITHAMINI.

Washiriki wa mjadala huo ( main characters)

*Kado cool
*Mike tee
*Dj john
* Inoncert Ngayangwa
*Timothy
*Mimi
*Wewe
*Iddi mwanaharam
*Muddy mwanaharakati

images.png
 
Back
Top Bottom