DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

deci inatisha pamoja na kuwa na tin number na kadri ya uelewa wa kodi au sheria za kodi TIN(taxpayers identification number) inatolewa na TRA

Lakini usajili wa taasisi za fedha kadri ya sheria za Bank of tanzania act,2006 na banking and financial institutions act,2006 ufanywa na benki kuu.

Na jana pia leo katika magazeti benki kuu na pia wakala wa masoko ya pesa wamekiri kutoitambua deci na kusisitiza mtu atakaye jiusisha na biashara ya deci atakuwa anatarisha mtaji au peasa yake.
na pia ili ni kosa la jinai kujiusisha katika biashara hiyo ya deci au inayofanana na hiyo.
 
Jamani wana JF hizi tetesi zinazoenea sa hizi hapa mitaani kwetu kuhusu hii DECI kuwa imefungiwa na Serikali ni za kweli au huzushi??? Jamani kama kuna mtu ana update newz atupatie mara moja! mana watu huku hatuli mchana huu!!!!
 
DECI wamekuwa ni matapeli kam wengine wengi tu, mmesikia habari za Blue nao wamekula pesa za walimu wakasepa, watanzania tumekuwa wavivu tusiotaka kuchuma vya HALALI katika nyanja nyingi kama elimu, hospitali, na ufisadi wote kisa umaskini?!!!
NOoo tuamkeni watanzania.
 
Deci haijafungiwa. Kilichotokea ni kuwa Benki Kuu na CMSA wametoa tangazo kuwatahadharisha wananchi kuwa Deci haipewa kibali na BoT kufanya shughuli za upatu wala CMSA haijatoa leseni kwa ajili ya Deci kuendesha shughuli inazizifany

Wanmewaonya wananchi kuwa mtu atakayeshiuriki katika shughuli za Deci atakuwa anavunja sheria. mwisho wamesema kuwa hivi sasa wanachunguza shughuli zinazofanywa na deci kabla hatua hazijachukuliwa.

Tangazo hili lilitoka katika magazeti jana na leo
 
Mimi kwa upande wangu DECI nailaumu kwa kutojisajiri BOT japo na hao BOT nao wana weakness maana kitu kinaanzishwa mpaka kinatake off hamna taarifa then sasa hivi ndiyo mnagutuka kuwapa watu taarifa kuwa hawa jamaa ni wezi? This is a shame!!

Hawa jamaa waliojiwa kwenye citizen wakakana kuwa wao hawafanyi kazi kwa paramidal scheme (Ambayo ndiyo jinai)! Sasa hapa ndipo pa kuanzia wanafanya kazi kwa utaratibu gani? Pia kama imeweza kufanya kazi kwa miaka minne mpaka sasa bila lawama zozote kutoka kwa wateja wao mimi sijaona ubaya wa DECI. KWANI ILE YA KENYA UKISOMA WANASEMA KUWA JAMAA WALIANZA KUTOKULIPA HAPO NDIYO MATATIZO YALIPOANZIA. Je Kenya ilikuwa na muda gani? Na nini kilitokea?

HAPA KUNA KITU KWANI BAADA YA KUANZA HII SYSTEM MPYA YA ELIMIKA NA WATU WAKATOA HELA ZAO BANK KUWEKEZA, JAMAA WAMEANZA FITINA SIKU ZOTE WALIKUWA WAPI? NINACHOTAKA MIMI NI UKWELI UWEKWE WAZI HAWA JAMAA UBAYA WAO NI NINI? WAMEIBA? KUTOJISAJIRI? KUSAIDIA WATZ MASKINI TENA KWA HELA ZAO? AU KUTOA KIWANGO KIKUBWA CHA FAIDA? TUJADILIANE HAPO!

Je unategemea mtu aende Pride, Finka au NGO ya mama Mkapa wakati tunajua matatizo yake mfano ya Anna walimu walikuwa na kesi kuwa imeweka riba kubwa sana na ilidhihirika kuwa ni kweli? Kipi kizuri sasa watu wakae tu kuwa hizi taasisi ni mbaya?

Mtu akikusaidia lazima utamwona kama mzuri. Nenda pale DECI ukawaoji watu then utasikia watachokueleza. Hawa jamaa (Mafisadi) wako kwenye hizi taasisi hivyo wameona watu wengi wameanza kukimbia wanaona taasisi zao zitakufwa.

HIKI KITU INABIDI KIFANYIWE UCHUNGUZI WA KINA KAMA NI FITINA TUTAONA HUKO MBELE. NI VIZURI DECI KULIKO DEAL ZA USWAZI, RUSHWA ETC KWANI KULE UNAKUWA UMEWEKA HELA YAKO YA HALALI LABDA UWE UMEIIBA THATS ANOTHER CASE.
 
Mkuu Mugerezi, tatizo ni kuwa hawa jamaa hawaeleweki fedha zao zinazaa vipi. Ukilinganisha na kiwango cha faida wanachokitoa kwa mtu anayevpanda na kuvuna, kwa mtu ambayer anaelewa financial systems zinavyofanya kazi, inakuwa vigumu sana kuelewa fedha hizi zinazaaje kiwango hicho cha faida katika kipindi kifupi.

Ni kweli kuwa sasa hivi watu wanaweza kuwa wanaonekana wanafaidika, lakini siku itafika watu watalia na watakaolia ni wengi. Ukipitia kwa makini thread hii tangu mwanzo ufafanuzi umeshatolewa wa scenario mbalimbali ambazo Deci wanaweza kuwa wanatumia kupata fedha za kuwalipa watu jkwa faida kubwa na katika scenario zote hakuna inayoonekana kuwa sustainable
 
Kwa mtu yeyote mwenye kuifahamu vizuri HIki chombo kinachojishugulisha na biashara ya pesa wao wasema kupanda na kuvuna.. Kila kona ya Dar na baadhi ya Mikoa hapa nyumbani TZ DECI wanakusanya pesa na kurudisha kwa faida kubwa. Tunaomba kuwafahamu vizuri ili tukiamua kujiunga nao tusiwe na mashaka kama yale yaliyowahi kutukuta ya UPATU. Plz wenye data zitakazo tusaidia msisite.

sikushauri uwekeze hata kidogo hiyo inaitwa ponzi scheme, kuna jamaa anaitwa bernard mardoff (muanzilish wa nasdaq) yuko jela amewaibia wayahudi wa marekani kwa kutumia mfumo huu. kampuni yake imeenda bust na $50bn.

bahati yako ikiwa nzuri ukapata kabla haija bust, lakini lazima hiyo kampuni ita bust na kuondoka na hela za watu wengi. hivi hii serikali iko wapi....
 
JINSI DECI INAVYOFANYA KAZI

1.january wamejiunga watu 200.
kwa ajili interst ni kubwa na umaarufu unaongezeka

2. february wanajiunga watu 300
kwa ajili interst ni kubwa na umaarufu unaongezeka

3.march wanajiunga watu 400
kwa ajili interst ni kubwa na umaarufu unaongezeka

4. april wanajiunga watu 500.
wanalipa mia 500.
bado watabakiwa na 900.
kwa ajili interst ni kubwa na umaarufu unaongezeka
5.may wanajiunga watu 600

watu wengi wakishajiunga , idadi ya watu kujiunga inapungua, hela inayoingia inakua kidogo kuliko inayotoka. hapo ndio deci itakapo BUSTTTTTTT
 
Mimi siwalaumu watanzania kuwa wanapenda hela hata wewe ukiletewa idea ya kupata hela haraka most you will buy it or even have a serious consideration of the same. mpango huu wa pyramid scheme upo hata huko marekani katika na hizo ponzi scheme ni kitu hicho hicho. kitu cha muhimu hapa ni regulatory authorities kuwaelimisha watanzania kuhusu biashara hii haramu na ambayo ni too speculative which will grow at the beginning then it will fed as there will be no more investors to deposit their cash and most of them will be waiting for returns and this is the beginning of the collapse as the absence of new depositors mean no payments to the older depositors.

Tunaongelea hili lakini watu si mnajua hizi ndizo biashara zinazoendelea mtaani siku hizi kuna biashara hii nasikia iko mabibo wanaita panda na uvune na swali mtu anajiuliza ni wapi wanawekeza ili kuweza kupata faida kubwa wanayotoa? the only probable answer is that they pay based on the deposits from new depositors and speculative and unlicensed lending business.

we need to educate our fellow Tanzanian the pros and cons of scheme of this kind.
 
JK, Get to know, "Easy Finance, the Worst Finance"
Midas Touch Midas Touch is offline 8th August 2008, 03:01 PM
With Easy Finance, you can get a monthly payable loan for less than 3 hours!
1) The company is situated at Burundi St. Plot No. 112 Kinondoni DSM
2) Loans up to 50,000,000/=
3) Interest rate= 30% per month (30 days)= 360% for 12 months (year)
4) Chairman & CEO is Mr. Isaac Kasanga
5) Operations Manager is Mr. Charles Kaniki
6) Calateral can either be Motor vehicle (MV) or House
7) Before loan costs when colateral is MV: Application form= 50000/=
MV inspection Tsh. 100,000/=, service charge=20000/= other charges
20000/=. Grand total=190000/=
When collateral is a house, inpection/evaluation cost is 500,000/=
8) With your MV, if you borrow 1,000,000/= for a month, you will payback:
190,000/= (19%) + 300,000/= (30%) = (49)+1,000,000/= 1,490,000/=
9) With your house, if you borrow 1,000,000/= for a month, you will payback:
540,000/= (54%) + 300,000/= (30%) = (84%)+1,000,000/= 1,840,000/=

10) With your MV as colateral, and borrow 1,000,000/= for 12 months,
you will payback:
190,000/= (19%)+3,600,000 (360%)=(379%)+1000,000/=3790000!
11) With your house as colateral, and borrow 1,000,000/= for 12 months,
you will payback:
540,000/= (54%)+3,600,000(360%)=(414%)+1000,000/=5140000!
12) The lender is the property evaluator and keeper!
13) Easy Finance sued for MV hijack! Read attachment below.

Questions:
a) Who are the borrowers, why and what business to repayback?::-o
b) TRA has these information?
c) BOT has these information?
d) Is this the best way to bring better lives for Tanzanian?
e) Does EPA money exists here?
JF it's for you to digest!

Attached Files
File Type: doc Easy Finance sued August 7 2008.doc (22.0 KB, 80 views)

Midas Touch
Member
Join Date: Wed Jan 2008
Posts: 26
Thanks: 6
Thanked 13 Times in 8 Posts
Report Post Report Post
Subscription Subscription
Show Printable Version Show Printable Version
Email this Page Email this Page
Add to Midas Touch's Reputation Add to Midas Touch's Reputation
Views: 3829
Reply With Quote Multi-Quote This Message Quick reply to this message Thanks
The Following 2 Users Say Thank You to Midas Touch For This Useful Post: (soma posti hii)

HEBU LINGANISHENI HII YAKWENU AMBAYO IMESAJILIWA NA "MKOMBOZI DECI" acheni DECI ISONGE...!
 
Last edited:
Walimu wajutia kilichowapeleka kukopa Bayport

July 24, 2008

Date::7/23/2008
Walimu wajutia kilichowapeleka kukopa Bayport
Na Tausi Mbowe
Mwananchi

BAADHI ya walimu wamejitokeza hadharani na kudai Kampuni ya Bayport Financial Services, ambayo mke wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Anna ana hisa imekuwa ikikata zaidi ya mara tatu mkopo waliyochukua.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake, Mwalimu wa Shule ya Msingi Hekima zamani Buguruni B, Scolastica Kaduma, alisema kampuni hiyo imekuwa ikiwanyonya bila huruma kutokana na kulipa kiwango kikubwa cha deni halisi ikilinganisha na benki nyingine ambako baadhi yao wamechukua mkopo.

Kaduma alitoa mfano wake kwamba Aprili mwaka jana alikopa Sh470,000 kutoka Bayport, lakini anaendelea kukatwa Sh43,747.75 kila mwezi kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa na bado anadaiwa Sh1.1 milioni.

"Mpaka sasa nimeshalipa zaidi ya Sh437,000 katika kipindi cha mwaka mmoja, lakini bado karatasi yangu ya malipo inaonyesha nina deni la Sh1,049,922," alisema huku akionyesha karatasi hiyo.

Kwa mujibu wa hesabu ambazo Mwananchi ilifanya, zinaonyesha walimu hao wanalipa riba ya asilimi 6.53 kwa mwezi sawa na asilimi 78.36 kwa mwaka.

Hesabu hiyo inafanya walimu hao kulipia zaidi ya mara tatu ya kiwango halisi cha mkopo.

Kwa mujibu wa mchanganuo ambao Mwananchi imefanya, inaonyesha katika mkopo huo mwalimu huyo analipa Sh13,055.55 kama makato ya kila mwezi sanjaro na riba ya Sh30,691.20 kwa mwezi na kufikia Sh43,746.75.

Wakati zikiibuliwa tuhuma hizo dhidi ya Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na mkewe Anna, bado kuna tuhuma lukuki ambazo hazijatolewa maelezo zinazowahusu kwamba walijihusisha na biashara wakiwa Ikulu.

ShareThis

from JamiiForums.com

Related Articles

o Mama Mkapa abanwa
o Kampuni inayohusishwa na Mama Mkapa yabanwa
o Walimu wasivyoheshimika Bongo!
o Mkaguzi deni la EPA akamilisha taratibu za kuomba kazi
o Hawa ndio walimu wetu……. ama kweli Elimu haina mwisho

Written by Bubu ataka kusema · Filed Under Discussion Forums

MADUDU MENGINE HAYA HAPA YALIYOSAJILIWA NA BOT & TRA
 
I agree with your analysis that easy finance is charging unacceptable interest and other administrative cost thats why people are encouraged to join and form SACCOS though I know they sometime faces bad management however the idea is ok the problem is on fixing good management.

The above said, notwithstanding, does not mean that we should support DECI which is questionable pyramid scheme trying to collect money in these times of economic meltdown. we are not choosing the better evil because both are evils so we should not support one because we hate the other. if the two are evils then we should hate both and love none.
 
habari zilizotufikia hivi punde zinasema kumbe ire mikwara iliokuwa ikipigwa na Gavana mkuu na tena prof .ilikuwa ni tatizo la siasa na maslahi binafsi;wakiongea na mwanaahabari wetu na kuthibitishwa na gazeti la mtanzania leo zinasema chokochoko zote hizo zinatokana na yule ama kale kafisadi kadogo kalichoondolewa na benyamini nkapa si mwingine mh IDDI SIMBA ambae aliamua kuanzissha kampuni ya kukopa na kulipa ilijulikanao kama PRIDE ndie sosi ya mjadala wote huu

Wakiongea na chanzo chetu wanasema iddisimba amekuwa akilalamika sana wateja wake wengi wameamua kuaamia deci na hivyo kuvunja mwelekeo wa kampuni hiyo;habari zaidi zinasema mh simba alipoulizw akusita kujibu na kusema kama wanaenda kinyume na sheria za nchi lazima wahukumiwe hakuna njia alisema mh simba.

Swali letu tunajiuliza kama hii DECI imeanzishwa tangu zaidi ya miaka 4 iliopita hiyo serikali na wewe kichwa mbovu prof ndulu tena gavana ulikuwa wapi muda wote uione leo hii
hamwoni kuwa wote ni wapumbavuuuuu kama mmeshindwa kukisimamia kitaasisi kidogo kama hiki ;je wakati fedha za EPA zinachotwa wewe ulikuwa gavana msaidizi mbona ukuopiga kelele yoyote watu wakuone msafi unakkuja kujitafutia sifa kwenye upuuzi;shame on you all mnaoipiga vita hii taasisi na kama imeandikiwa imeandikiwa tu
upuuzi mwingine jamani hao serikali ndio wanaoilinda ofisi zote za deci na mapolisi wake kama taasisi ya fedha walikuwa awajui wanawalinda wakina nani muda wote......wizi mtupu;gavana fanya yanayokuhusu achana na siasa zisizo kusaidia iddi simba ni mtu mdogo sana kwenye nchii hii...urafiki wenu ushwahiba wenu usiwafanye watu wakudharau zaidi;kama dharau ushadharaulika tangu enzi za EPA

Huyu Raisi nae wakuangali aiwezekani watu wanapiga kelele za EPA na kumchagua mtu aliekuwa hapo akiona ench n everything zikipita na tena hata kwenye acc yake...shame on him..napenda kuwahakikishia hii DECI iko safi na inalipa ushuru TRA kama inavyotakiwa na inafwata sheria zote za nchi;huwezi sema ati angalien yalipita mashirika fulani yakaiba yakakimbia;uwezi kusema ati umeachika then kila mwanamke utakaemwona mmhhh;utabaki na kuganga na vijimala### mwisho kinondoni city centre;so ukijifanya unaogopa usilalamike kuubeba umasikini;watu wanavuna na kupanda
SHAURI YAKO BABU
 
Nimesoma msg kuhusu hii DECI,

Hii DECI haitumii PONZI kama watu wanavyowaza... kwa sababu toka imeanza hakuna mtu aliyekosa pesa yake... na ahilazimishi kutafuta mtu wa kudeposit ili mtu aweze kulipwa.

KWA UKWELI WATU WENGI WANATAKA KUJUA SIRI YA WANACHOKIFANYA KUPATA HIZO PESA... NA DECI WAMEGOMA KUTOA HIYO SIRI... SASA WENYE NGUVU NA NCHI HII WAMEAMUA KUTUMIA DOLA.

LAKINI KWA KWELI KAMA KUNA ORGANIZATIONS ZINALIPISHA RIBA KUUBWA NA SERIKARI HAIKUINGILIA.... MABANK YANATOA RIBA NDOGO KWE FIXED ACCOUNTS SERIKALI HAIKUSEMA KITU....

SASA INATOKEA ORGANIZATION IMEAMUA KUFANYA MSHIKAMANO ILI WATU WOTE WA BENEFIT SERIKALI INAINGIZA MKONO WAKE.... KWA KWELI ITAKUWA NI HATARI SAANA ....

MIE KWA USHAURI WANGU WALIOWAHI KUWEKA PESA KULE WAWE NA AMANI SAANA...

DECI NI MKOMBOZI WA WANYONGE... WATU MAISHA YAO YAMEBADILIKA SAANA JAMANI... WANGONJWA WALIOKUWA WANAKOSA CHAKULA SASA AFYA ZAO ZIMEKUWA NJEMA SAANA..... WATOTO YATINA NA WENYE MAISHA DUNI WAMEWEZA KWENDA SHULE... KWA KUWEKA PESA CHACHE TU.

NA MPAKA SASA HAKUNA ALIYEWAHI KUKOSA PESA YAKE... SIKU YAKE IKIFIKA.... NA IKO WAZI SAANA.

DECI...... TUSHIKAMANE REVOLUTION FUNDS.....

ASANTENI
 
Deci ni ponzi scheme full stop.
Kuna watz wametapakaa dunia nzima humu jf, kwa hiyo deci sio kitu kipya kama wewe unavyozania.

PRIDE IKO FINANCED NA NORAD NA SIDA, JE DECI IKO FINANCED NA NANI
 
Last edited:
Back
Top Bottom