Andindile
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 304
- 16
Ndio, DECI wanahitaji kujenga uaminifu miongoni mwa watanzania ili wapate wateja wengi zaidi. Hawawezi kutoweka kwa sasa mpaka wale ambao sio risk takers waaminishwe kuwa wanaweza kutajurika kupitia DECI. Watakapokuwa na mabillion kibindoni, ni siku moja tu utasikia ofisi na wahusika hawapo na ndipo itakapokuwa kilio na kusaga meno