newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,378
- 550
wazalendo Utaratibu wa DECI sio wa kawaida kama tulivyozoea taratibu za kibenki.kinachotakiwa ni kujua ni utaalamu gani wanautumia,kama ni halali na siyo pyramid scheme ,serikali iwaache waendelee.
HOJA:KUna swala la Money Laundry,inawezekana kuwa hawa DECI wanatumiwa na akina OSAMA na Drug Cartels kusafisha hizi pesa kwa kuzizungusha ktka mfumo kama huu.
wadau wa mambo ya Fedha na Financial Fraud wanaweza kufafanua zaidi.