David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kubwajinga,
Mkuu huna sababu ya kuamini maneno yangu kwani sii maji ya tohara.. Ila nazuhngumza kitu nachokifahamu. Kifupi huwezi kumwona mwana Chadema akipinga kwa sababu wanaelewa nazungumza kitu gani sii kambi ya Zitto au nyingineyo..Maamuzi mengi ya Mbowe yametokana na taarifa anazorushiwa na wapambe wake. Yeye mwenyewe ni msikivu mwenye subra ila kosa kubwa ni kutosikiliza upande wa pili kabla hajafikia maamuzi mazito. Intelegensia yake ni bomu ni watu wa kukaa nao mbali..Hizi ni habari za watu wanaomfahamu kwa ukaribu na hawana maslahi ndani ya chama wala ktk biashara zake.

Pili, huna haja ya kuamini maneno ya Mtei ila matokeo ya vurugu ndani ya chama tena wakati wa Uchaguzi ni alama tosha ya kufikiria mbona mambo mengi yanatokea sasa hivi?..Hawa watu walikuwa pamoja siku zote na ugonvi wao unatokana na maswala nje kabisa ya katiba na ilani ya chama, yaani ugonvi unakuja isijulikane chanzo. Afadhali hata CCM tunajua fika kuna kundi linalopinga Ufisadi unaolenga Taifa letu kuongozwa na watu wachache wenye nia ya kujitajirisha..

Chadema hakuna issue kabisa zaidi ya kutazama Zitto na wafuasi wake kuwa main reason ya ugonvi wote huu, maamuzi ya Zitto ktk maswala mengi yamekuwa na pande mbili pia kuna tuliyoyaunga mkono na mengine kuyapinga lakini haiwezxi kunipa msimamo wa kuchagua Upande.. Zitto nani hasa wa kuweka makundi ndani ya chama zaidi ya kutetea jimbo lake. Na anapofanya hivyo inaonekana mbaya lakini sii jambo la ajabu watu wa mkoa mwingine iwe Tarime au Kilimanjaro kuwapa kura watu wa majimbo yao, ndio demokrasia at it's best inavyofanya kazi..

Mbona Kikwete na mtandao walikuwa haziivi na kundi la Salim, Warioba na kina Malecela upande mmoja na kuna kundi la Mkapa, Sumaye na wengineo..Lakini hapakutangulia na visa vikubwa vya uhasama nje kama vya Chadema kiasi kwamba wanavurugana hadi ktk vyomboi vya habari
pasipo sababu kabisa ya msingi. CCM mchezo ulifanyika ndani ya chama na ikabakia ndani ya chama hadi siku ya uchaguzi..

Mimi naweza amini kabisa kwamba Kafulila amejiondoa Uanachama kwa sababu ya maneno yaliyofuata kuhusu yeye kama mwanachama. Ukianza kukosa imani ya wanachama wenzako, ukatukanwa matusi ya nguoni, kwa sababu tu umeweka madai ambayo hayakuwafurahisha nbaadhi ya watu..hivyo huoni nafasi yako ndani ya chama hicho. Nitarudia kusema story yoyote ina pande mbili na binafsi nitaendela kumpa Kafulila uhuru wake ktk maamuzi yake kwani ni yeye Kafulila anayefahamu yote yaliyomkuta ktk wakati huu mfupi sana.

Yaliyotokea wakati wa Uchaguzi wa vijana yamenipa picha kubwa ya vita iliyokuwepo Chadema katika nafasi hiyo yaani nayaona ya Nchimbi na marehemu Eppy Malecela. Mambo mengi yanajirudia kiasi kwamba naanza kuamini kuwa tatizo sio Chadema wala CCM isipokuwa ni baadhi ya watu ndani ya vyama hivyo ndio watakao vibomoa vyama hivi.
 
Mengi umeandika, ila umeharibu mwishoni. Unaandika kuwa tatizo si CHADEMA ila watu au baadhi ya watu. Sasa CHADEMA ni nini kama si watu hasa wanachama wake. Hivi cha kinaweza kuwa chama bila watu?

Hii ni sawa na kuandika kuwa tatizo si Tanzania bali watu (watanzania). Sitokuelewa kamwe!! Au hujui maendeleo ya chama au nchi yanaletwa na nani? Au ni mchanga katika kushika kalamu.
 
[/COLOR]

Nilikuwa nasubiria kwa hamu kuona msemaji mkuu "ataingia" saa ngapi.
 
Zawadi Ngoda,
Sidhani kama nimeharibu labda hukunisoma vizuri.. nimesema BAADHI ya watu, hii inaweza kuwa hesabu ndigo sana ya wahusika wanaoleta vurugu hizo ndani ya Chadema na CCM. Kisha nimetanguliza mfano wa Nchimbi na Eppy kuwapa picha ya kile nachokiona kufikia maamuzi hayo.
 
Kafulila, ana haki yake ya kwenda popote apendapo. Chadema si baba wala mama yake.
Sasa kelele zote za nini?
Mwacheni akatafute chakula maana hawezi kaa mjini bila kazi aliyoichezea mwenyewe.
mwisho utasikia yuko sisi m alikotokea baada ya kazi maalum. Najua hatakosa sababu za lawama ya hapa na pale.
Historia tu ndio itampiga chini.
 
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Chaga Development Manifest (CHADEMA) ,mpoooooooooooooooooooooo
 
Kumbuka "hako" kazee kana busara sana, ukishaanza KEJELI bila hoja ya msingi "hakatokujibu"

By the way ni kama baba yako kwanini haumweshimu?, kutofautiana kiitikadi za kichama hakumfanyi mtu aache kuheshimu mila zetu za kiafrika.

Jadili bila jazba na kejeli, nawe utajibiwa.

busara za juma nature
nimekubali
 
Kubwajinga,
Mkuu huna sababu ya kuamini maneno yangu kwani sii maji ya tohara.. Ila nazuhngumza kitu nachokifahamu. Kifupi huwezi kumwona mwana Chadema akipinga kwa sababu wanaelewa nazungumza kitu gani sii kambi ya Zitto au nyingineyo..Maamuzi mengi ya Mbowe yametokana na taarifa anazorushiwa na wapambe wake. Yeye mwenyewe ni msikivu mwenye subra ila kosa kubwa ni kutosikiliza upande wa pili kabla hajafikia maamuzi mazito. Intelegensia yake ni bomu ni watu wa kukaa nao mbali..Hizi ni habari za watu wanaomfahamu kwa ukaribu na hawana maslahi ndani ya chama wala ktk biashara zake.
Mkandara,
Hizo ulizoandika hapo sio sifa za kiongozi aliyetaka apewe nchi na sasa anaongoza chama chenye vijana waliomzidi elimu.

Kwa nini basi anaendelea kung'ang'ania madaraka kama anaongozwa na wapambe, anafikia maamuzi mazito bila kuyadadisi na sio inteligent?
 
Pili, huna haja ya kuamini maneno ya Mtei ila matokeo ya vurugu ndani ya chama tena wakati wa Uchaguzi ni alama tosha ya kufikiria mbona mambo mengi yanatokea sasa hivi?..Hawa watu walikuwa pamoja siku zote na ugonvi wao unatokana na maswala nje kabisa ya katiba na ilani ya chama, yaani ugonvi unakuja isijulikane chanzo. Afadhali hata CCM tunajua fika kuna kundi linalopinga Ufisadi unaolenga Taifa letu kuongozwa na watu wachache wenye nia ya kujitajirisha...

Mkandara,
Tupe ushahidi wa CHADEMA kuingiliwa na watu wa nje otherwise tusitunge mambo wakati tunajua kabisa wachawi wetu.

Vurugu za uchaguzi zilitokana na ukosefu wa Demokrasia kwenye ule uchaguzi. Zitto alizimwa asigombee na Kafulila matokeo ya ushindi wake yalifutwa. Mchawi ni nani hapa kama sio hao waliovuruga demokrasia?
 
Chadema hakuna issue kabisa zaidi ya kutazama Zitto na wafuasi wake kuwa main reason ya ugonvi wote huu, maamuzi ya Zitto ktk maswala mengi yamekuwa na pande mbili pia kuna tuliyoyaunga mkono na mengine kuyapinga lakini haiwezxi kunipa msimamo wa kuchagua Upande.. Zitto nani hasa wa kuweka makundi ndani ya chama zaidi ya kutetea jimbo lake. Na anapofanya hivyo inaonekana mbaya lakini sii jambo la ajabu watu wa mkoa mwingine iwe Tarime au Kilimanjaro kuwapa kura watu wa majimbo yao, ndio demokrasia at it's best inavyofanya kazi...

Kwa hiyo mchawi sasa aliyesababisha Kafulila kuondoka ni Zitto? Mkuu Mkandara, unashindwa nini kumbebesha Mbowe ubaya wake?
 
atakuwa ametumia haki yake yake ya kikatiba na ya kidemokrasia ya kujiunga na chama chochote cha siasa which implies anaweza kuondoka kwenye chama hicho
 
Kubwajinga,
Kiongozi yeyote ni lazima uamini intelejensia yako na ndipo unapopata feedback ktk maswala mengi. Viongozi wote duniani wanatumia vyombo hivi na ndio maana ya Utawala. Pengine yachukulie maneno yangu kama ushauri kwa Mbowe mwenyewe kama ilivyo kwa JK, tumekuwa tukihoji sana washauri wake, waandishi wake na kadhalika..Hiyo haiwezi kutoa hukumu ya uwezo wa kiongozi ila inaweza kabisa kuangamiza utawala. Mkuu wangu hujasikia Mbowe, Dr.Slaa na Zitto wakirushiana makombora hata siku moja...mambo yote yanatoka nje na watu wanauvamia mkenge.

Kwanza chukulia wapambe kama ni watu wa system hiyo unayoiongoza sii watu wa nje ama wa kuokoteza ovyo..Unaweza kuwa mtu makini na mstaarabu lakini ukisha bebeshwa majungu na hasa yanayo kuhusu wewe na uongozi wako ni vigumu kwa kiongozi kumvaa mtu pasipo uhakika.. Na uhakika huo utapatikana tu through vyombo ambavyo wewe unaviamini na huwezi ku control fikra na azma yao..

Hivyo, mfano wa Mbowe ni sawa na ule wa Bush/Powell na CIA kuhusiana na Iraq wakati Chenney anajua fika kinachoendelea. Ni sawa na sisi sote kuamini kwamba Osama yupo Afghanstan na yeye ndiye alopanga mashambulizi ya 9/11, hali ni Osama huyo huyo familia yake iliondolewa Marekani the day before tunatangaziwa..lakini bado kabisa sote tunaamini hivyo, ikiwa ni pamoja na wewe au kiongozi yeyote duniani lakini haina maana kabisa kwamba sisi sote hatufai kuamini intelejensia pasipo kufanya utafiti wetu wenyewe.
 
Kwa hiyo mchawi sasa aliyesababisha Kafulila kuondoka ni Zitto? Mkuu Mkandara, unashindwa nini kumbebesha Mbowe ubaya wake?

Kwa sababu wewe umekosa kabisa mipira ya kumhoji Mbowe.

Chicken ..... qkhhawkccckk ....qkhhawkccckk .....qkhhawkccckk
 
Well, tatizo la wanasiasa wetu walio wengi ni kwamba siasa kwao ni kazi. Akinyang'anywa cheo maana yake ni kwamba wamemnyang'anya namna ya kuishi hapa mjini. Sasa mdogo wangu Kafulila naye inaonekana yumo kwenye kundi hilo. Taarifa tulizo nazo ni kwamba anaenda NCCR na ameahidiwa mambo kedekede ikiwemo kupangishwa nyumba na mshahara wa kila mwezi. It is not about philosophical and policy issues; it is about instrumental needs! What a shame!

Chadema kwa sasa ni taasisi. Huu ni mchujo mzuri, watabaki wanasiasa wa kweli na wenye mapenzi ya kweli ya kufanya siasa na kuleta ukombozi katika nchi hii. Hatukatishwi tamaa, tunaendelea kukanyaga kwenda mbele hadi kieleweka. Tutaweweseka lakini hatuanguki na tunasonga mbele.

Kila la heri mdogo wangu Kafulila huko uendako. Uwe makini sana huko, na uangalie usije ukawa unaruka mkojo....but then it is too late, you have already made your decision. Best wishes!

Very well said... hakuna hatat haja ya kuweweseka ... natamani na wengine watoke... hasa wale wanaotoa siri za chama nje .. wanajijua
 
Kubwajinga,
Kiongozi yeyote ni lazima uamini intelejensia yako na ndipo unapopata feedback ktk maswala mengi. Viongozi wote duniani wanatumia vyombo hivi na ndio maana ya Utawala. Pengine yachukulie maneno yangu kama ushauri kwa Mbowe mwenyewe kama ilivyo kwa JK, tumekuwa tukihoji sana washauri wake, waandishi wake na kadhalika..Hiyo haiwezi kutoa hukumu ya uwezo wa kiongozi ila inaweza kabisa kuangamiza utawala. Mkuu wangu hujasikia Mbowe, Dr.Slaa na Zitto wakirushiana makombora hata siku moja...mambo yote yanatoka nje na watu wanauvamia mkenge.

Kwanza chukulia wapambe kama ni watu wa system hiyo unayoiongoza sii watu wa nje ama wa kuokoteza ovyo..Unaweza kuwa mtu makini na mstaarabu lakini ukisha bebeshwa majungu na hasa yanayo kuhusu wewe na uongozi wako ni vigumu kwa kiongozi kumvaa mtu pasipo uhakika.. Na uhakika huo utapatikana tu through vyombo ambavyo wewe unaviamini na huwezi ku control fikra na azma yao..

Hivyo, mfano wa Mbowe ni sawa na ule wa Bush/Powell na CIA kuhusiana na Iraq wakati Chenney anajua fika kinachoendelea. Ni sawa na sisi sote kuamini kwamba Osama yupo Afghanstan na yeye ndiye alopanga mashambulizi ya 9/11, hali ni Osama huyo huyo familia yake iliondolewa Marekani the day before tunatangaziwa..lakini bado kabisa sote tunaamini hivyo, ikiwa ni pamoja na wewe au kiongozi yeyote duniani lakini haina maana kabisa kwamba sisi sote hatufai kuamini intelejensia pasipo kufanya utafiti wetu wenyewe.

Teh teh teh
Mbowe anaijua kweli intelenjesia, ha ha ha ha ha huo ni msimiati mkubwa sana kwa mbowe labda amtafute mwafrika ama masanilo ampe maana yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom