David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hivi mbona mnaisakama sana CHADEMA..si na wewe uanzishe chama chako ...ndio kafukuzwa na kama ni NGO ya Mbowe then what??nenda chama ambacho sio NGO ya mtu..

Huyo ni maji ya kijani. Ana chama chake hapa. Ni ccm damu damu na sasa wanatafuta namna ya kumfuta Mengi uanachama.
 
Kanda2,
Mkuu mimi nina hakika kabisa kwamba mabo yote haya hayatokei bure au kwa mkono wa Mbowe isipokuwa kuna Uhasama umeingizwa ndani ya Chadema.
kama unakumbuka mwaka jana Chadema walikuwa na tatizo hili kubwa sana na Mzee Mtei alisema wazi kwamba wamo watu wameingia ili kukichafua chama.
Na moja ya mbinu inayotumika ni kama hii..

Kafulila hana ugonvi na Mbowe isipokuwa kuna watu wapambe wa Mbowe ambao kazi yao ni kumtafuta yeyote ambaye anaibuka kuwa pingamizi kwao. Asikudanganye mtu hawa wote wanaopiga kelele ni NJAA tu, hakuna mtu anataka Uongozi Chjadema pasipo kutazama mafao. ndio maana unaona wakihoji sana matumizi ya fedha, ni hulka yetu kutokuaminiana na kweli ukimuamini Mbogo ktk fedha umeumia pia. Kifupi hakuna njia ya mkato kwa watu maskini inapofikia swala la fedha.
Mimi nipo karibu sana na watu wanaomfahamu Mbowe na woite wanakiri kwamba watu wanaommaliza Mbowe ni wapambe wake toika ktk biashara zake hadi kisiasa..Hawa ni vijana wa mjini wanaomfahamu Mbowe vizuri sana na pengine hujawa naye karibu kuweza kumfahamu vizuri Mbowe.

Nimesoma hoja nyingi sana hapa JF.. zote zinaandikwa na watu wenye chuki ya kimakundi, wapo washabiki wa Zitto kina Omar na wapo washabiki wa upande wa pili. Vita hii inafanana kabisa na vita ya Mwakyembe na Mwakalinga ambao wao wenyewe hawasemi kitu isipokuwa washabiki wao ndio wanazidisha kujenga chuki baina ya watu hawa wakifiria kwamba wanamjenga mgombea wao.
Kwa wenye akili ya kufikiri wanajua fika kwamba hapa pamejaa chuki na Ubinafsi na sii kwa maslahi ya Taifa..
Kafulila kaondoka na siku zote matukio kama haya yana sura mbili..Ukweli hatuwezi kuufahamu pasipo kusoma alama.
 
Mkuu Nilikuwa najiuliza ni Kwa Nini Zitto na Mbowe wako kimya? But through huu mjadala nimegundua kuwa wanajua zaidi ya tunavyojua sisi
 
mie nimechoka pale aliposema kuwa chadema ina njia mbili za kumuondoa mtu uanachama ya kwanza kujiuzulu mwenyewe au ya pili unatafutiwa kifo kama alivyofutwa uanachama chacha wangwe kwa njia hii ya pili.

kafulila kaona aanze kwa kutumia njia ya kwanza kuliko kusubiri ajali.

nimeona kale kazee ka chadema kako online sijui katajibu hapa?

Kumbuka "hako" kazee kana busara sana, ukishaanza KEJELI bila hoja ya msingi "hakatokujibu"

By the way ni kama baba yako kwanini haumweshimu?, kutofautiana kiitikadi za kichama hakumfanyi mtu aache kuheshimu mila zetu za kiafrika.

Jadili bila jazba na kejeli, nawe utajibiwa.
 
Yaani kama baba anakafundisha adabu katoto kake LoLO! Asante sana Fairplay
 
Hii inaitwa HEKIMA
 
Well, tatizo la wanasiasa wetu walio wengi ni kwamba siasa kwao ni kazi. Akinyang'anywa cheo maana yake ni kwamba wamemnyang'anya namna ya kuishi hapa mjini. Sasa mdogo wangu Kafulila naye inaonekana yumo kwenye kundi hilo. Taarifa tulizo nazo ni kwamba anaenda NCCR na ameahidiwa mambo kedekede ikiwemo kupangishwa nyumba na mshahara wa kila mwezi. It is not about philosophical and policy issues; it is about instrumental needs! What a shame!

Chadema kwa sasa ni taasisi. Huu ni mchujo mzuri, watabaki wanasiasa wa kweli na wenye mapenzi ya kweli ya kufanya siasa na kuleta ukombozi katika nchi hii. Hatukatishwi tamaa, tunaendelea kukanyaga kwenda mbele hadi kieleweka. Tutaweweseka lakini hatuanguki na tunasonga mbele.

Kila la heri mdogo wangu Kafulila huko uendako. Uwe makini sana huko, na uangalie usije ukawa unaruka mkojo....but then it is too late, you have already made your decision. Best wishes!

Duh...Mzee....hizo siasa zenu naona nikama vile 'football hooliganism' Football hooligans furaha yao ni kuchukua mchezaji toka timu nyingine lakini akichukiliwa mchezaji wao ni vita na matuzi kwamba amefata pesa na sio mwanaspoti...nchi hii naona wasomi ndo wanatuangusha,nilikuwa kyela kwenye msiba na niliyoyakuta uko,siasa za watu wasomi na wanaoitwa heti watu makini kwenye nchi hii na wanaendesha siasa za hajabu kabisa...duh......
 
Kanda2,
Mkuu mimi nina hakika kabisa kwamba mabo yote haya hayatokei bure au kwa mkono wa Mbowe isipokuwa kuna Uhasama umeingizwa ndani ya Chadema.
Umejuaje Mkuu?? Au Mbowe ni Mesiah asiyeweza kuzua zogo??

kama unakumbuka mwaka jana Chadema walikuwa na tatizo hili kubwa sana na Mzee Mtei alisema wazi kwamba wamo watu wameingia ili kukichafua chama.
Na moja ya mbinu inayotumika ni kama hii..
Kwa nini tumuamini Mtei kwenye issue inayomhusu mume wa bintiyake? Kwani lazima watu wapandikizwe, ina maana viongzi kama Mbowe, Slaa hawakosei?

Kafulila hana ugonvi na Mbowe isipokuwa kuna watu wapambe wa Mbowe ambao kazi yao ni kumtafuta yeyote ambaye anaibuka kuwa pingamizi kwao.
Mkandara, haya umeyajuaje wakati tumeambiwa Mbowe mwenyewe ndiye aliyempiga vita Kafulila?

Asikudanganye mtu hawa wote wanaopiga kelele ni NJAA tu, hakuna mtu anataka Uongozi Chjadema pasipo kutazama mafao. ndio maana unaona wakihoji sana matumizi ya fedha, ni hulka yetu kutokuaminiana na kweli ukimuamini Mbogo ktk fedha umeumia pia. Kifupi hakuna njia ya mkato kwa watu maskini inapofikia swala la fedha.
Kumsingizia kila mtu kuwa yupo kwa ajili ya njaa yake, ni matusi kwa wengi wenye elimu zao lakini wamejitolea kufanya kazi za chama bila malipo au kwa malipo kiduchu.

Mkuu Mkandara, imekuwaje leo umeacha kuangalia mambo kwa uzito, na umekuwa shabiki asiye na macho?.
 
Yaani kama baba anakafundisha adabu katoto kake LoLO! Asante sana Fairplay

Mkuu Balantanda ana Ndege ya Uchumi,

Unajua mzee Mtei atashindwa kutofautisha tukiwa kama mwanachama wa CCM mwenzangu kanda2.

Mie pia ni wa CCM na nina mengi nisiyokubaliana na Chadema ila ukikutana na wa Chadema tunajadili mambo kwa heshima.

na mwishoni tunakubaliana kutokubaliana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom