Ndoto inayowaogopesha CHADEMA usiku na mchana

Tryagain

Member
Nov 23, 2021
66
436
Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.

Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"

Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
 
Ndoto yake imefikia wapi
 
Kama humjui Zitto utapata tabu sana ! uliona wapi mpinzani anabadilishana jimbo na mwanaccm ? Zitto alibadilishana Jimbo na Peter Serukamba , sijui kama unalijua hili
 
🤣 🤣 🤣
 
Mboma mzee Mbowe alikubali mgombea toka ccm kwa nafasi ya urais ?
 
Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.

Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"

Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
Hehehhee Zitto alikua machachari ila kusema aliwatisha hamna kitu. Mbona alipojitoa bado Lowassa na lissu walizoa kura nyingi za urais kuliko hata mgombea wa Act huko kigoma. Pia chadema na ACT walipata idadi sawa ya wabunge kigoma!!

Zitto lazima afahamu huwezi shindana na taasisi na umaarufu wake ulibebwa na chadema sio yeye kama yeye. Hata Mdee akishaondoka chadema hakuna atakayekua na habari naye kwani Dr Slaa ilikuaje? Alizoa kura million 2+ ila alipojiondoa tu watu wakamsahau.

So zitto aache kujipa umuhimu ambao hakua nao, angebaki angeshakua Katibu mkuu na Uenyekiti angeachiwa mwaka huu sema haraka zake zimemcost. Ajifunze kwa Mnyika na lissu wamekua patient sana na sasa wamekua cream ya chadema.
 
Back
Top Bottom