Elimu ya mtu si kigezo tunaangalia uwajibikaji kwani kuna watu walisoma mpaka Havard na wana Mijimasters lakini wanakuambi aaah hizo ni hela wakati ni VIJISENT sasa hapa ni wazi kwamba Elimu si kigezo kwani katiba ya nchi inasema mtu ambaye anapaswa kugombea uongozi wowote awe na akili nzuri hapa kwa maana hiyo asiwe mgonjwa wa akili pia awe anafahamu lugha ya Kiswahili vizuri na Kiingereza japokuwa kuna watu wana Masters lakini Kiingereza ni cha ugoko sasa hapa wana JF the Thinkers mtajiju kwa nini mtu ana Masters then Lugha inampa shida kwa kuandika na kunukuu.
Kikubwa we need maendeleo hii kila siku oooh tunataka CV ya mtu flani haitusaidii hata kidogo tuko na matatizo mengi sana ya kujadili kama ukosefu wa maji,umeme nk so kuna Wabunge wana Masters lakini wanashindwa hata mwenyekiti wa kijiji ambaye kaishia darasa la nne kwa utendaji wa kazi.Tunataka uwajibikaji na sio CV ya mtu kwanza wenye CV nzuri ndio wametufikisha hapa tulipa sasa wezi watupu kwa kutumia usomi wao.