Sugu ataka ATCL nayo ibinafsishwe Dubai kwani imeshindwa kutoa Huduma

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.

Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

=====

Sugu Airport.PNG
 
View attachment 2648788
Watu wasisahau kwamba uhujumu-uchumi ni mtandao mpana sana. Usikute hao hao eitiisiiel wamepewa maagizo kutoka juu wazingue zingue hivyo ili ionekane tu kwamba kazi imewashinda, wenyewe wapate upenyo na nguvu za kuimba ngonjera za ubinafsishaji. Dah!
 
Kuna mwamba mmoja humu amelichambua vizuri tuu, kwamba sekta zote za serikali zi binafsishwe kwa sababu serikali imeshindwa kufanya mambo kwa usahihi
Basi hapo serikali ndiyo ibinafsishwe ili tujue moja. Afadhali tutawaliwe na serikali ya Urusi au China.
 
Hata uwanja wa Benjamin Mkapa nao wapewe ili umeme usiwe unatuharibia
Historia 10 Mlango wa pili: ^Na ndipo Juliasi akamgeukia Mkapa, akamwambia: Kijana wangu, kwa mwendo huu wa ubinafsishaji unaoufanya, tunaweza kuamka asubuhi tukakuta umebinafsisha hadi jeshi letu!^
 
Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.

Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

=====

View attachment 2648788
Urasimu ni Kila sehemu hapa Tanzania na Kwa taarifa Yako wenye vyeo wananufaika sana na huu upuuzi..

Vyote tubinafsishe hakuna maana ya kuwa na mashirika ya kisengerema kama haya, nadhani hata Dart mnajiona inachofanya 🤣🤣

Mwisho terms ndio ziwe rafiki basi
 
Back
Top Bottom