Tuache unafiki wala ushabiki wa siasa. Elimu ni muhimu sana katika kuleta chachu ya maendeleo kwenye familia na jamii kwa ujumla. Mbunge hata kidato cha nne hajamaliza? This is shame... Let us call spade spade na sivinginevyo.
Si mbaya Sugu kuwa Mbunge bila ya kuwa na elimu ambayo wengi wetu tungependa awe nayo. Kutokusoma kwake kunaweza kuwa kumechangiwa na sababu zenye msingi tu, hivyo hajachelewa akijiendeleza sasa hivi.
Na pia tunaweza kuwa tunayaongea haya yeye mwenyewe ameishaliona hilo kitambo na kujendeleza kimasomo online, tumpe muda hadi 2015 CV haijabadilika basi atakuwa naye ni Mbunge asiye amini umuhimu wa ELIMU.
Nakwenda zangu Ilala kusakasaka mademu, nipo Sinza nasaka saka mademu, nipo Masaki nasaka saka mademu maisha hayawezi kuwa matamu bila mademu-SUGU
Mara kumi Joti angekuwa mbunge.
Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!
Hiyo profile unaiongezea nini.
hapo umekurupuka haujasomoma vizuri kuanzia 1998-1991 ni miaka 2? amesoma miaka 4 ndugu yangu.
yule wa morogoro hajawahi sikika akizungumza bungeni hata siku moja,ila huyu huwa anachangia,so tayari ni gap hilo..
Pia yule wa morogoro hajasoma hata sekondari na tena hiyo primary yake ina utata
Nahisi umekosea na wewe, may be unamanisha 1988_1991
amesoma o-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!