Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,737
- 218,327
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.
Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF
Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Ikulu ya Pentagon (White House)
Pichani ni Bilionea Sugu akisisitiza jambo kwa umakini Mkubwa , huku balozi huyo akizingatia kwa kiwango cha Juu