CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
baada ya ku fail form 4 na ugumu wa maisha aliyokuwa akiishi kwa kumtegemea mama tu (single parent) ikabidi asafiri hadi dar kutafuta maisha .akafanikiwa kuajiriwa na kampuni moja ya ulinzi (security guard) akapangiwa kulinda kwenye kampuni ya mafuta ya gapco kama mlinzi wa usiku.

Kutokana na ugumu wa kazi ya ulinzi na udogo wa mshahara (kwani alikuwa pia anapenda sana starehe, wanawake na sifa kama jina lake MR 2) ikabidi ajishughulishe na hii miziki ya kufoka foka yaani bongo fleva .baada ya kujipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kusifia BANGI akaacha kazi na kufanya ziara karibu nchi nzima akifanya matamasha ya kuimba .

Mwishowe akapata mfadhili anaitwa ndugu MPONJOLI (huyu ni maarafu sana kule Marekani kwa kuiba kadi za bank au credit alishafungwa huko marekani na alipoachiwa amepigwa marufuku kuonekana nchini marekani kwa sasa yupo uingereza) kumpeleka nje na inasemekana akapeleka mzigo (unga )nchini Marekani. na ndipo maisha yake yakawa afadhali. Lakini kutokana na kukamatwa na kufungwa huyo mfadhili wake MPONJOLI ikambidi yeye arudi tena nchini .

Ikamdondokea zali kutokana na chama cha mapinduzi kumsimamisha mgombea asiyependwa katika jimbo la Mbeya ndio ikamuwezesha yeye kuukwaa ubunge katika jimbo la mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA na kuingia bungeni kwa mara ya kwanza. na alipoingia tu bungeni cha kwanza kabisa ni kumnyanganya mwanamuziki mwenzake wa bongo fleva JAFFARAY mwanamke wake aliyekuwa akilelewa naye mheshimiwa SHYROSE BANJI.

Hayo ndio kwa kifupi sana maisha ya JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU mbunge wa mbeya mjini. kwa maendeleo ya mbeya mjini. ANAYEYAJUA MENGINE ZAIDI ATUHABARISHE
 
sawa umesomeka, kumbe na wewe unajua kuanzisha Thread? kama ulidhani unamjua SUGU basi humjui.
kwa history yake soma kitabu kiitwacho SUGU, THE AUTOBIOGRAPHY, FROM STREET TO PARLIAMENT!
hizi za kwako ni porojo tu!
 
Huoni kuwa hata aina ya maisha aliyoipitia yanatosha kuwa darasa tosha? Sifa ya mbunge wa Tanzaznia ni kujua kusoma na kuandika, hujui hilo?
 
GENERAL
SalutationHonourable
Member picture
1644.jpg
First Name: Osmund
Middle Name: Joseph
Last Name:Mbilinyi
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mbeya Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:Box 815, Mbeya
Office Phone: +255 716 627344
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jmbilinyi@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 May 1972

EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Ligula Primary School
Primary Education
1981
1984
PRIMARY
Sokoine Primary School
Primary Education
1984
1986
PRIMARY
Sisimba Primary School
Primary Education
1986
1987
PRIMARY
Mbeya Secondary School
O-Level Education
1988
1990
SECONDARY
Sabasaba Secondary School
O-Level Education
1990
1991
SECONDARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mbeya Urban Constituency
2010
2015
BP Tanzania LimitedSecurity Officer
1998
2010
Self EmployedCelebrity
1994
1998

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
CHADEMAMember
2010


Habari za shughuli wana jamvi. Katika wiki lililopita tulikuwa tukijadili cv ya mbunge wa Morogoro mjini. Leo hii nimeleta Cv ya Mheshimiwa Sugu nayo tuitazame. Uzuri wake haina tofauti na yule Mh. Mbunge wa Morogoro Mjini. Lengo si kumfananisha bali ni kuangalia naye uwezo wake katika utendaji.
 
Pamoja na kukupa "like" naomba masharti na vigezo kuzingatiwa. Unaifahamu katiba ya CCM vizuri? Unaifahamu katiba ya Chadema vizuri?Unazifahamu sifa za mtu kuwa mbunge kulingana na katiba za vyama vyao?Bungeni huwa kuna mijadala mingapi muhimu na ya msingi ambayo huwasilishwa? Uzi huu naamini mods watauheshimu kama ukinijibu maswali yangu yote hapo, na kama hutajibu basi humu jamvini kuna watu watatusaidia ku-attach katiba zote mbili ili kuwe na uwiano wa mjadala.
 
yule wa morogoro hajawahi sikika akizungumza bungeni hata siku moja,ila huyu huwa anachangia,so tayari ni gap hilo..
Pia yule wa morogoro hajasoma hata sekondari na tena hiyo primary yake ina utata
 
kwangu mie sioni tatizo katika elimu yake kama ana uwezo wa kujenga na kutetea hoja. ni wasomi wangapi wapo hapa tanzania lakini hata kutoa hoja achilia mbali kuisimamia wanashindwa?? big up Sugu umewaonyesha vijana waliokata tamaa na elimu yao ya form four kuwa inawezekana kama kweli wakiweka nia katika vile wanavyoviamini na kuvifanya kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom