CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

kufaulu shule si kufaulu maisha. Mbinu za kufaulu maisha zipo nyingi. Unafahamu Bill Gates alifeli form six. Unafahamu huyu mwenye SH HAMON, Land Mark Hotel, Pattaya Hotel nk hakumaliza secondary?.Unafahamu Shigongo alikua muuza magazeti stand kule Mwanza?. Unafahamu Salim Kikeke wa BBC alikua Mwanaapolo kwenye machimbo ya Tanzanite kule Mirerani Arusha?. Wangejidharau leo hii wangefika walipo? Usibweteke kuchunguza maisha za watu,tafuta salary mkuu!

tatizo uwezo wa kuongoza watu sugu hana. jimbo la mbeya mjini limedorora sana
 
Mi binafsi sijui elimu yake ila najua ni mbunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania!!
 
Hoja nzima ililenga kumchafua Shy Rose Bhanji,basi.
Inawezekana kabisa mtoa hoja ndiye kanyang'anywa mke, au alikuwa anafaidika kwa namna fulani kwa huyo JAFARAY kuwa na mh. S.R.Bhanji.
 
baada ya ku fail form 4 na ugumu wa maisha aliyokuwa akiishi kwa kumtegemea mama tu (single parent) ikabidi asafiri hadi dar kutafuta maisha .akafanikiwa kuajiriwa na kampuni moja ya ulinzi (security guard) akapangiwa kulinda kwenye kampuni ya mafuta ya gapco kama mlinzi wa usiku.

Kutokana na ugumu wa kazi ya ulinzi na udogo wa mshahara (kwani alikuwa pia anapenda sana starehe, wanawake na sifa kama jina lake MR 2) ikabidi ajishughulishe na hii miziki ya kufoka foka yaani bongo fleva .baada ya kujipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kusifia BANGI akaacha kazi na kufanya ziara karibu nchi nzima akifanya matamasha ya kuimba .

Mwishowe akapata mfadhili anaitwa ndugu MPONJOLI (huyu ni maarafu sana kule Marekani kwa kuiba kadi za bank au credit alishafungwa huko marekani na alipoachiwa amepigwa marufuku kuonekana nchini marekani kwa sasa yupo uingereza) kumpeleka nje na inasemekana akapeleka mzigo (unga )nchini Marekani. na ndipo maisha yake yakawa afadhali. Lakini kutokana na kukamatwa na kufungwa huyo mfadhili wake MPONJOLI ikambidi yeye arudi tena nchini .

Ikamdondokea zali kutokana na chama cha mapinduzi kumsimamisha mgombea asiyependwa katika jimbo la Mbeya ndio ikamuwezesha yeye kuukwaa ubunge katika jimbo la mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA na kuingia bungeni kwa mara ya kwanza. na alipoingia tu bungeni cha kwanza kabisa ni kumnyanganya mwanamuziki mwenzake wa bongo fleva JAFFARAY mwanamke wake aliyekuwa akilelewa naye mheshimiwa SHYROSE BANJI.

Hayo ndio kwa kifupi sana maisha ya JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU mbunge wa mbeya mjini. kwa maendeleo ya mbeya mjini. ANAYEYAJUA MENGINE ZAIDI ATUHABARISHE
Mkuu kama ntakosea nsamehe inavo onesha kwa muonekano wako w n mtu mfupi! Na hauna familia, kibaya zaidi unatafuta kazi, pole maana kwa cc walefu elim haitusumbui kabisaaa!
Ukitaka kufunga ndoa tafuta mtu mke mrefu! Utabadili maisha!
 
Jamiiforums inapoteza hadhi yake kwa kasi ya ajabu sana. Maana mtu anaweza andika kitu chochote kikawa habari.
 
Sijui lengo la thread hii lilikuwa ni nini; inaonekana ni ya siku nyingi sana ila nilikuwa sijaiona. Ila nadhani ni ya chini sana kuwe katika forum kama hii ya JF na nashangaa kuona ina pages zadi ya 20 !!
 
Kwani sugu alishatunukiwa ile shahada yake na chuo kimoja wapo hapo mbeya? Nasikiya aliwaonga mshahara wake wa mwezi mzima ml 10 maprofesa chuo hapo mbeya ili wamtunuku lishahada la heshima mwanawane ili aitwe dr mwanawane sugu kiboko
 
tunaomba uitoe hiyo CV haraka iwezekanavyo maana ss CDM tunasikia aibu.........kwani hizo primary na secondary c unaweka moja tu ile uliyomalizia sasa kujaza uchafu wote huo maana yake nini......alafu jamaa alishawahi kuwa mlinzi...hivi kweli CDM itaongozaje nnchi na watu kama hawa....naanza kutilia shaka chama hiki. Please ITOE BANA NI NOMA....
 
its kk capitalist at the end of the day ni kuwin maisha sio cv hizi za makaratasi cha msingi ni kupambana ndo maana kwa ss wasomi wengi ajira imekuwa lawama coz expectation zilikuwa kubwa na wengi wenye maisha mazuri wna elimu ya kawaida sana nakupunguka kauli moja its not guarantee to have a degree as well as good life
 
Back
Top Bottom