Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

Ila Manara wenye Mahusiano anaonekana ana shida sana yule....

Wanawake wote anaokuwa nao hawadumu...sasa sijui ni ule Mdomo anaupeleke hadi kwa wake zake...
Anaonekana ni controlling man, utaona wanawake akiwa nao wanafubaa, wakiachana wanapendeza.
Ni wale wanaume wa usivae hiki, usongee na Yule, usiende kule.....halafu na gubu juu.

Wananzengo tulikubaliana aoane na Dida Ili mzani ubalance, ingawa Kwa Zai pia sio mbaya.....Kwa mbaaali inakuja.
 
Kweli Dida atamfaa..
Maana wote wana nyota za kuoa na Kuolewa.
 
Huyo sijui zai,hapo ni sawa na yupo kwenye zile mashine za mchina za Kubet,hapo kuna mtu katega maokoto tu.
Uzuri Zai wetu tunamuaminia.....haogopi roroseee, safari hii wataachana au ataachwa yeye.....akae Kwa kutulia.
Alikuwa anawaonea wale kina Rushaynah wanatokea Kazulamimba huko....Pwani huku hatoki boya....ni chuma Kwa chuma.
 
Back
Top Bottom