Status
Not open for further replies.
Tanzania ina case ya wahonjwa sita wa CORONA VIRUS, Tumeambiwa Tuchape kazi, Zimbabwe kuna mtu mmoja tu wa CORONA VIRUS and Look at the precaution measures they are about to implement.

IMG_9609.JPG


Sasa tuambizane ukweli, kwanini linapotokea janga hapa kwetu wanasiasa wanatumia kama sehemu ya kutafutia political sympath ? ITALY is a modern country na watu wanakufa kama kuku mdondo everyday, nao walidharau hivi hivi,

Alafu kuna dhana watu wanadanganyana kwamba eti watu weusi sijui wana nini korona haiingi, aisee asiwadanganye mtu, Tuchukue tahadhari ya hali ya juu, msidanganyike, Ugonjwa hauna dawa na for your information ITALY MAKANISA YOTE YAMEFUNGWA NA HAKUNA KWENDA MECCA msijifanye huku Africa mnamjua YESU NA MOHAMED kushida Middle East na Ulaya, MTAAANGAMIA...





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
NY ndiyo inaongoza kwa maambukizo ya Corona kwa US sababu mojawapo watu wamekuwa wabishi kufuata sheria. Watu wengi wa NY wana asili ya Italia na hawajamaa ni wabishi sana. Hata kwa Ulaya Italia ndiyo ina ongoza kwa wagojwa. NY na California kumekuwa serious sana.

5F7DDF47-A7B1-4B7F-BFA8-140AEEB8BCD8.jpeg
 
Hio shule waliopata waitaliano kwa kweli haina mfano nahsi ata wata anza kuzaa na blacks ili wapate super race FYI juzi tu Saturday vifo zaidi 700 vili repotiwa just 700+ deaths within a single day mpaka sasa yeye ndo ana lead kwa watu wake kufa ame surpass mpaka chini ugonjwa ulipoanzia nilisema hapa bado spain na ufaransa nao watapukutika tu its matter of time.
 
Inasemekana hata Acetaminophen inaweza kutumika kufubaza makali ya Corona virus mpaka hapo mgonjwa atakapopata nafuu na kupona kutokana na kinga zake za mwili kwani ugonjwa huu mpaka sasa haujapata tiba wala chanjo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom