Queenever1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 422
- 815
Hivi virus hakuna namna unaweza jipongeza kuwa umejilinda, ni Mungu tu Basi
Ifanyie Isolation simu yakoMtu anafika getini anaweka simu mfukoni ama ktk mkoba, ananawa mikono, kisha akiingia anapakata hand set za simu tena, nini kifanyike juu ya usafi simu zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka kulegeza vyumawacha wawapige tu nchi hii haina utawala wa sheria ni matamko tu. na nyie wapigeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaochangia sujui wako naye vile?Mwenyewe sijaambuliaHilo soko lipo Bongo hii au ni Ugaibuni?