Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Mwandishi nguli wa vitabu mnigeria CHINUA ACHEBE arejea tena.
Achebe amezindua kitabu chake kipya alichokipa jina la "THERE WAS A COUNTRY" ambacho kimeelezea vita vya biafra kule Nigeria huku yeye akiwa kiongozi wa kimila kwa wakati huo.
Achebe ambaye ni mtunzi wa kitabu maarufu cha THINGS FALL APART ambacho kimetafisiriwa kwa lugha zaidi ya 50 na akauza nakala zaidi ya milioni 10.
Tangu atoe things fall apart mwaka 1958 hajatoa kitabu kingine akiwa private writer zaidi ya kile cha encountance from Africa alichoshirikiana na akina ABRAHAM na wenzake.