CHINUA ACHEBE arudi tena

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Mwandishi nguli wa vitabu mnigeria CHINUA ACHEBE arejea tena.

Achebe amezindua kitabu chake kipya alichokipa jina la "THERE WAS A COUNTRY" ambacho kimeelezea vita vya biafra kule Nigeria huku yeye akiwa kiongozi wa kimila kwa wakati huo.

Achebe ambaye ni mtunzi wa kitabu maarufu cha THINGS FALL APART ambacho kimetafisiriwa kwa lugha zaidi ya 50 na akauza nakala zaidi ya milioni 10.

Tangu atoe things fall apart mwaka 1958 hajatoa kitabu kingine akiwa private writer zaidi ya kile cha encountance from Africa alichoshirikiana na akina ABRAHAM na wenzake.
 
Kwamba tangu atoe THINGS FALL APART hajatoa kitabu kingine akiwa peke yake?? is it true?? what about NO LONGER AT EASE,ARROW OF GOD,A MAN OF THE PEOPLE, ANTHILLS OF SAVANNAH e.t.c!?
 
Nimemskia na Ngugi wa Thiongo nae alitoa kitabu kiitwacho " Dreaming in time of War" kimekaaa vizuri sana kama kile cha A Grain of Wheat na The River Between
 
Kwamba tangu atoe THINGS FALL APART hajatoa kitabu kingine akiwa peke yake?? is it true?? what about NO LONGER AT EASE,ARROW OF GOD,A MAN OF THE PEOPLE, ANTHILLS OF SAVANNAH e.t.c!?
also he wrote CHIKE AND THE RIVER
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom