NyunyuMkuu inaonekana wao kwenda leo inakusumbua sana?!!! Wewe ulitaka frequency iweje?
Huyo achana naye ni pro-Kikwete kama inamuuma CDM kwenda kwenye kaburi ajinyonge namfananisha na pro-Mubarak waliokamatwa wanavunja maduka ili wasingizie waandamanaji wanaleta fujo lakini wapopekuliwa wakakutwa na vitambulisho vya polisi wengine mashushushu.