CHADEMA wazuru Kaburi la Baba wa Taifa Butiama

Mkuu inaonekana wao kwenda leo inakusumbua sana?!!! Wewe ulitaka frequency iweje?
Nyunyu
Huyo achana naye ni pro-Kikwete kama inamuuma CDM kwenda kwenye kaburi ajinyonge namfananisha na pro-Mubarak waliokamatwa wanavunja maduka ili wasingizie waandamanaji wanaleta fujo lakini wapopekuliwa wakakutwa na vitambulisho vya polisi wengine mashushushu.
 
LAZIMA KIELEWEKE TUU MAPEMA IWEZEKANAVYO...Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu.Kwa ccm washaona mawingu yametanda kote,na ngurumo mzito.Weeeeraaaweeeraaaa.....!!!!
 
Haya yalikuwa wazi siku nyingi mkuu!!! Tatizo ni jinsi ulivyouliza, kishari...
Au umeanza kufuatilia siasa juzi nini!!!!
Nichokochoko tu hakuna kingine kwasababu hapa hapa jamvi january kulikuwa na bandiko lilo kuwa linaenda kwa "Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere" ukilipitia utangundua mbowe amekuwa akienda mara kwa mara kwa Nyerere.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/15996-uhusiano-wa-freeman-mbowe-na-jk-nyerere.html
 
Lengo ni nini hasa dada Regia?
Kwa mjibu wa Regia wanaendelea kukutana na wananchi kwa njia ya maandamano na mikutano vile vile akasema watatembelea na kuweka mashada (pay respect) kwenye kaburi, unataka lengo gani zaidi. Wewe ukitembelea makaburi ya wazee wako huwa una malengo gani zaidi hebu tujuze na sisi.

Wakuu, Baada ya kuingia Musoma na kufanikiwa kufanya maandamano kwa amani na utulivu mkubwa leo vikosi vitatembelea Wilaya za Mkoa huu. Lakini kabla ya kwenda kwenye wilaya, Viongozi wote tukiongozwa na Kamanda Mbowe tutaelekea kuzuru kaburi la baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere na kuweka mashada ya maua.
Vikosi leo vitaelekea Tarime, Rorya, Bunda, Serengeti, Mwibara na Musoma Vijijini.
 
Mkuu Speaker,

nataka wewe na watu wengine wote wajue kwamba nimekupa thannks hapo ukurasa wa pili wa thread hii.

Itarahisisha sana kupeana taarifa kama mtu atakuwa anajibu swali badala ya kubwabwaja matusi na kejeli.

Pia nimempa PayGod thanks kwa kujibu swali ulilokuwa unauliza kwa kuweka ushahidi mezani
 
Kwa mjibu wa Regia wanaendelea kukutana na wananchi kwa njia ya maandamano na mikutano vile vile akasema watatembelea na kuweka mashada (pay respect) kwenye kaburi, unataka lengo gani zaidi. Wewe ukitembelea makaburi ya wazee wako huwa una malengo gani zaidi hebu tujuze na sisi.

Mkuu umejibu vizuri sana, sikua na tatizo kuuliza, pili Imani yangu inanikataza kwenda kuzuri makaburi na iko very clear kwenye biblia. Though siko kidini hapa niko kisiasa zaidi. Nilitaka kujua lengo kwa sababu zifuatazo.

1. Nyerere ni muasisi wa CCM
2. Nyerere anachukuliwa na wengi kama baba wa Taifa

Kwenda kuhudhuria kaburi kuna malengo gani? JUST pay respect? thats all?
 
Nichokochoko tu hakuna kingine kwasababu hapa hapa jamvi january kulikuwa na bandiko lilo kuwa linaenda kwa "Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere" ukilipitia utangundua mbowe amekuwa akienda mara kwa mara kwa Nyerere.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/15996-uhusiano-wa-freeman-mbowe-na-jk-nyerere.html
Ni vyema wakaeleza wenyewe Chadema kwanini wanatembelea kaburi la bwana mkubwa kwani inaweza kueleweka kua wakichukua madaraka wataongoza kama mwalimu.

Wakati tulionao sidhani kua siasa za Mwalimu bado ni muwafaka. Ninafikiri wale wanaomjua Mwalimu nyerere vizuri wengi watakubaliana namimi
 
In peopleeeees power is where we believe in. Go CDM, go Dr.SLAA go,go Mnyika go,go H .MDEE go,go Mbowe go.go every one go The LIVING GOD AND TANZANIAN are BEHIND U."Freedom has always been an expensive thing . History is a fit testimony to the fact that freedom is rarely gain without sacrifice and self denial"
 
Yote hayo mnafanya kwa ajili yangu na watoto wangu mungu awabariki...............Regia endelea kutujuza ikiwezekana tupe na picha, munu awajarie afya njema
 
Mkuu umejibu vizuri sana, sikua na tatizo kuuliza, pili Imani yangu inanikataza kwenda kuzuri makaburi na iko very clear kwenye biblia. Though siko kidini hapa niko kisiasa zaidi. Nilitaka kujua lengo kwa sababu zifuatazo.

1. Nyerere ni muasisi wa CCM
2. Nyerere anachukuliwa na wengi kama baba wa Taifa

Kwenda kuhudhuria kaburi kuna malengo gani? JUST pay respect? thats all?
Sidhani kama kuna dini inayokataza kuzuru makaburi (wakristo na waislam), ni biblia gani hiyo labda yangu ni tofauti, naomba tusiliendeleze sana hili.
1. Ila sijakuelewa unaposema Nyerere ni muasisi wa CCM kwa hiyo una maana wengine hawaruhusiwi kwenda kwenye kaburi lake.
2. Unaposema anachukiwa na wengi (wepi?), tusifike huko aliyekufa amekufa hata kama ulikuwa na differences once akitangulia mbele ya haki ni kibinadamu kumpa heshima zake.
 
CHADEMA / REGIA MTEMA hajasema wamekwenda kupata baraka kaburini ila amesema wamezuru na kuweka mashada ya maua. labda mkosoe mchangiaji.
 
Wakuu,

Baada ya kuingia Musoma na kufanikiwa kufanya maandamano kwa amani na utulivu mkubwa leo vikosi vitatembelea Wilaya za Mkoa huu. Lakini kabla ya kwenda kwenye wilaya, Viongozi wote tukiongozwa na Kamanda Mbowe tutaelekea kuzuru kaburi la baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere na kuweka mashada ya maua.

Vikosi leo vitaelekea Tarime, Rorya, Bunda, Serengeti, Mwibara na Musoma Vijijini.

Hauna Kulala Mpaka Kieleweke.

Aluta Continua

Kutoka Musoma

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

Safi sana Dada Regia lazima mpate baraka za Baba wa Taifa. Nawatakia mema yote katika harakati zenu. Nimeambiwa Shy nako mtapita, ni kweli?
 
Sidhani kama kuna dini inayokataza kuzuru makaburi (wakristo na waislam), ni biblia gani hiyo labda yangu ni tofauti, naomba tusiliendeleze sana hili.
1. Ila sijakuelewa unaposema Nyerere ni muasisi wa CCM kwa hiyo una maana wengine hawaruhusiwi kwenda kwenye kaburi lake.
2. Unaposema anachukiwa na wengi (wepi?), tusifike huko aliyekufa amekufa hata kama ulikuwa na differences once akitangulia mbele ya haki ni kibinadamu kumpa heshima zake.

Swadakta mkuu, hapo penye bold!!! Nadhani kwenye jibu lake la pili laweza kufit essence ya CDM; who knows!! To me, wameamua kwenda kwa kuwa ni Baba wa Taifa, na wako ndani ya mkoa alikotoka na kuzikwa; what is the issue kwenda kuweka maua; to my understanding kila mtu anaweza kwenda pale, na kutembelea pia makumbusho yake!!!
 
Wakuu,

Baada ya kuingia Musoma na kufanikiwa kufanya maandamano kwa amani na utulivu mkubwa leo vikosi vitatembelea Wilaya za Mkoa huu. Lakini kabla ya kwenda kwenye wilaya, Viongozi wote tukiongozwa na Kamanda Mbowe tutaelekea kuzuru kaburi la baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere na kuweka mashada ya maua.

Vikosi leo vitaelekea Tarime, Rorya, Bunda, Serengeti, Mwibara na Musoma Vijijini.

Hauna Kulala Mpaka Kieleweke.

Aluta Continua

Kutoka Musoma

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

Mheshimiwa,

Wewe mtu! Jitahidini kuwa karibu na wananchi kwa kutupasha mambo yote namna hii. Fanyeni mambo kinyume kabisa na CCM maana wao wamelewa madaraka na ujinga ambao wao huita amani.
 
Swadakta mkuu, hapo penye bold!!! Nadhani kwenye jibu lake la pili laweza kufit essence ya CDM; who knows!! To me, wameamua kwenda kwa kuwa ni Baba wa Taifa, na wako ndani ya mkoa alikotoka na kuzikwa; what is the issue kwenda kuweka maua; to my understanding kila mtu anaweza kwenda pale, na kutembelea pia makumbusho yake!!!
Unajua Nyunyu walitegemea CDM hawatafika kwenye kaburi ili kesho iwe issue kwenye magazeti, sasa imekuwa kinyume inabidi nao wa criticize kinyumenyume bila kuwa na sababu za msingi. Ndiyo maana mtu anakuja na sababu eti kwa nini CDM inakwenda kwa muasisi wa CCM mara CDM haijawahi kwenda kwenye kaburi toka azikwe ila wakakuta watu wana data za miaka 10 iliyopita.
 
If not ma job which is the only source of my little family income i could be with you.
naishi Korogwe nitapataje Card ya uanachama ya CDM
 
Mimekuuliza una uhakika au unaandika tu almradi umepost jishughulishe usisubiri kutafuniwa kila kitu.

It is important to question things because;
It allows you to get a better understanding of them.
It is however of greater importance to question things when you know that the person you are questioning has the competence to answer the question.
(Here,i didn't ask you dude)

Although it is important to question things;
you must be aware that when pose your questions to peopl,there are some who would take offence to your approach or perspective.
(when i asked,i knew there are people like you)

Since you didn't start the thread,it was wise to put your hand at ease because it was not worthy answering
Nice time
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom