CHADEMA wazuru Kaburi la Baba wa Taifa Butiama

Toka amekufa ndo leo chadema inaenda?
12 years?oh my God

1999 chadema haikuwepo?
why now?
Asume umefiwa afu mtu anakuja kuhani after 12 years lol
Au ndo kutembelea museum?

Anyway,all the best!
Nani aliyekwambia ndiyo leo wanakwenda kuzuru kaburi la Baba wa Taifa? Ninavyofahamu mimi viongozi wa CHADEMA wamewahi fanya ziara binafsi za kwenda zuru alipolala Baba wa Taifa, lakini safari hii wanakwenda kama timu yenye kazi maalum huko. Wao CCM huenda nyakati za uchaguzi tu na kadiri ninavyofahamu wataonekana huko mwaka 2014 au 2015 mwanzoni kujikomba kwamba "wanamuenzi" mwasisi wa chama chao ambacho kwa kweli si kile tulichokuwa tukikifahamu bali ni kilichochakachuliwa na mafisadi.
 
Mbona unajichanganya mwenyewe?
Sasa ulitegemea nijueje kama ni ziara binafsi au unadhani nina mke ambae ni kiongozi ndani ya chadema kwamba ataniibia siri zao?
 
Ni vyema wakaeleza wenyewe Chadema kwanini wanatembelea kaburi la bwana mkubwa kwani inaweza kueleweka kua wakichukua madaraka wataongoza kama mwalimu.

Wakati tulionao sidhani kua siasa za Mwalimu bado ni muwafaka. Ninafikiri wale wanaomjua Mwalimu nyerere vizuri wengi watakubaliana namimi

Tukubaliane na wewe kuhusu nini? Nazani unakumbuka alichokuwa anakishikia bango siku zake za uzeeni! UFISADI, adui mkubwa wa haki za masikini, alikuwa adui mkubwa wa nyerere, nazani unakubaliana na hili.

Kwaio cdm katika kumkumbuka mmoja wa viongozi waliowai kuwa na uchungu wa zati wa hii nchi, aliyeekuwa adui mkubwa wa ufisadi ;kama ilivo cdm leo hii ndio ujumbe uliotakiwa ufike kwa wananchi wote. Wakaamua kwenda kutembelea museum ya nyerere, hapo hujaelewa nini mkuu au kuna ubaya gani
 
Mbona unajichanganya mwenyewe?
Sasa ulitegemea nijueje kama ni ziara binafsi au unadhani nina mke ambae ni kiongozi ndani ya chadema kwamba ataniibia siri zao?

Una maana gani wewe speaker mbovu? Umeona hoja ya mke ndio hoja ya kuleta hapa? Kwani wao ni tools kwajili ya hio? Huu ni uzalilishaji wa wanawake! Its better u keep quite kama huna hoja ya msingi. I wonder kama umeoa au kuolewa!

Jamani hawa watu walionunuliwa kuja kutuchafulia hali ya hewa humu JF ni kuwa-ignore tu,ni watu wa uelewa mdogo! Ni kama kufukuzana na kichaa aliyekuibia nguo zako wakati unaoga kwenye vyoo vyetu vya passport-size!
 
Toka amekufa ndo leo chadema inaenda?
12 years?oh my God

1999 chadema haikuwepo?
why now?

Asume umefiwa afu mtu anakuja kuhani after 12 years lol
Au ndo kutembelea museum?

Anyway,all the best!
Je wewe umewahi kudhuru kaburi la mwalimu? Au ni Bingwa wa kunyooshea vidole wenzako?Wameenda kama waTZ na ziara ktk kaburi la mwl ni ishara ya kumuenzi mpiganaji wetu mkuu wa Taifa hili hata wewe unawajibu wa kuzuru siku moja kama ni mwanamapinduzi halisi. Kumbuka si lazima kudhuru kaburi hilo kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi hivyo kutokudhuru si kosa.

Napenda uelewe kuwa wakati wa kampeni za 2005 MBOWE (MUASISI WA KAMPENI ZA CHOPA TZ) na timu yake walidhuru ktk kaburi la mwalimu, hivyo viongozi wa CDM wamesha wahi kudhuru kaburi la mwalimu, kumbuka katika operasheni SANGARA walidhuru pia. Usiwe na kumbukumbu haba kama kitimoto.

Kumbuka kuwa hadi leo watu mbalimbali wanadhuru makaburi ya MAFARAO WA MISRI na ni sehemu ya UTALII hivyo muda si mrefu Kutembelea kaburi la mwalimu itakuwa ni utalii kwa wanamapinduzi wote duniani na waafrika wenye uchungu wa Afrika yao wanao waenzi viongozi wao makini waliotangulia mbele za haki.(Hivyo usitake kuwaaminisha watu kuwa kwa mwanasiasa wa Tanzania ni lazima atembelee kaburi la mwalimu kama ziara ya HIJA ya kisiasa) Kumbuka sio wote wanao muona mwalimu ni mkombozi wengine wanampinga mwalimu hivyo kudhuru KABURI LA MWALIMU USIWAAMINISHE WATU KUWA NI HIJA YA KISIASA
 
Mbona matusi sasa?
Anyway,ukisoma post zote utaona PayGod ameshaniambia kuhusu mbowe na kutembelea kaburi hilo,...
Ukisoma post zote pia,utajua maswali yangu yameegemea upande upi,....

Atleast kuwa mstaarabu kidogo unapo jibu mtu unae ona hamko katika mtazamo mmoja
 
Tatizo kuna watu hawapendi, kwa kuwa mwl alikuwa mwana ccm wanataka wao wenyewe ndio hata hayo mashada waweke, wanaumia kuckia CDM wamefika pale. Jaman yule ni Baba mwasisi wa taifa letu, ni wetu sote! Laumun chama chen hakina mikakati zaid ya vikao vya CC na NEC teh! Wenzenu wanamwaga petrol nchin, ndio km hvyo kaburin wameenda, mashada wameweka na picha wamepiga so poleni!
 
Una maana gani wewe speaker mbovu? Umeona hoja ya mke ndio hoja ya kuleta hapa? Kwani wao ni tools kwajili ya hio? Huu ni uzalilishaji wa wanawake! Its better u keep quite kama huna hoja ya msingi. I wonder kama umeoa au kuolewa!

Jamani hawa watu walionunuliwa kuja kutuchafulia hali ya hewa humu JF ni kuwa-ignore tu,ni watu wa uelewa mdogo! Ni kama kufukuzana na kichaa aliyekuibia nguo zako wakati unaoga kwenye vyoo vyetu vya passport-size!

Usipanic we mrembo,...
Acha matusi binti mzuri unajichafua urembo wako utakosa waume bureee!

"Kutuchafulia hali ya hewa?" You wish JF was yours huh,....bahati mbaya waanzalishi wa JF hawana akili za samaki kama wewe!
"Uelewa Mdogo"....(i reserve my insults for now)
"Ni kama kufukuzana na ....."....damn,unashauri kitu usicho fanya ndo nini sasa?umeniona kichaa ungeacha hata kujibu post yangu na ungefikisha ujumbe wako vyema sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom