Juliana Masaburi: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa ya Baraka kwa Taifa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,899
944
Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Taifa anayetokea Mkoa wa Mara Mhe. Juliana Masaburi amepongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani hasa akijikita kwa kuelezea miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Serikali kwa kipindi cha Miaka Miwili ya Rais Samia.

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NA UJENZI WA MIRADI MIPYA YA MAENDELEO MKOA WA MARA

✅ MIRADI SEKTA YA MAJI
Kufufua mradi wa Maji Komuge; Kufufua mradi wa maji Nyarambo; Kufufua mradi wa Maji Nyambori; Kufufua mradi wa Maji shirati; Kufufua mradi wa Maji Nyihara; Kujenga mradi wa maji Rabour; Kujenga mradi wa Maji Kwibuse; Kusambaza maji shirati ingiri juu; Kujenga mradi wa maji Rorya Tarime; Kujenga mradi wa Maji Musoma Vijijini /Butiama /Bunda

✅ MIRADI SEKTA YA AFYA
1. Kujenga Vituo vya Afya Viwili kata ya Nyamagaro, Rabour
2. Kumalizia Zahanati ya Vijiji Vinne, Kijiji cha Ng'ope, Makongro, Manira, Muhundwe
3. Kumalizia Zahanati ya Deti na Kogaja
4. Kupanua ujenzi wa Zahanati Ikome
5. Kutoa fedha kumalizia majengo ya Hospital ya wilaya ya Rorya
6. Kutoe fedha na kuendeleza na kumalizia ujenzi wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Mara
7. Ujenzi wa Jengo la Mionzi (X-ray) Katika Hospitali ya Wilaya Manyamanyama
6. Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bunda
7. Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda
8. Ujenzi wa Zahanati ya Rubana
9. Ujenzi wa Zahanati ya Kangetutya
10. Ujenzi wa Zahanati ya Kung' ombe
11. Ujenzi wa Zahanati ya Misisi
12. Uendelezaji wa Kituo cha Afya Wariku

✅ MIRADI YA MIUNDOMBINU
1. Kujenga Daraja la mto Mori
2. Kujenga Daraja la Mto Wamaya
3. Kujenga Daraja /Kivuko kowak
4. Kujenga Barabara mpya Km 168 Rorya
5. Kutoa fedha kutekeleza ufunguaji wa Barabara mpya musoma mjini

✅ MIRADI YA SEKTA YA ELIMU
1. Kujenga Shule mpya za Sekondari 8 (Sekondari ya Mkengwa; Sekondari ya Mika; Sekondariya Nyang'ombe; Sekondari ya Ikoma; Sekondari ya Changuge; Sekondari ya Nyambogo; Sekondari ya Rywang'eri; Sekondari ya Changuge)

2. Ujenzi wa shule Shikizi Mbili (Kanu, Obollo shule mpya ya msingi Kigera - Musoma Mjini. Kujenga madarasa 178 mpya kupitia pesa za uviko 19)
3. Ujenzi wa Madarasa zaidi ya 250 Katika Halmashauri ya Mji wa Bunda na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda
4. Ujenzi wa Vyoo Vipya katika Shule za Sekondari na Msingi
5. Kugharimia Elimu Bure Shule za Msingi hadi Kidato cha Sita kwa Mwaka wa Fedha 2021/22 na 2022/23
6. Ujenzi wa Ofisi za Walimu na Nyumba za Walimu
7. Ujenzi wa Mabweni ya Wasichana

✅ MIRADI YA MAJI, KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
✓ Ukamilishaji wa Ujenzi wa Chujio la Maji Nyabehu
✓ Uendelezaji wa Mradi wa Ufugaji Samaki Mchigondo
✓ Ukamilishaji wa Mradi wa Maji Kabirizi
✓ Ujenzi wa Majosho Mapya
✓ Kupunguza Bei ya Mbolea kwa Kutoa Ruzuku Katika Mbolea kwa mwaka 2022/23

✅ UTAWALA NA MAENDELEO YA JAMII
✓ Ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
✓ Ukamilishaji wa Mpango wa Anuani za Makazi Katika Halmashauri ya Mji wa Bunda na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
✓ Ufanisi Katika Zoezi la Kitaifa la Sensa ya Watu na Makazi
✓ Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Kijamii Vya Wanawake, Vijana na Walemavu.
✓ Malipo ya TASAF kwa Kaya Maskini ili kuzikomboa Kiuchumi
✓ Ujenzi wa Kituo Jumuishi Cha Biashara
✓ Ulimaji na Barabara za Zamani na Barabara Mpya za Mitaa, Vitongoji na Vijiji
✓ Ujenzi wa Barabara kwa Kiwango cha Lami NYAMUSWA - KISORYA

WhatsApp Image 2023-03-19 at 11.34.02.jpeg
WhatsApp Image 2023-03-19 at 11.34.03.jpeg
 
Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Taifa anayetokea Mkoa wa Mara Mhe. Juliana Masaburi amepongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani hasa akijikita kwa kuelezea miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Serikali kwa kipindi cha Miaka Miwili ya Rais Samia.

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NA UJENZI WA MIRADI MIPYA YA MAENDELEO MKOA WA MARA

MIRADI SEKTA YA MAJI
Kufufua mradi wa Maji Komuge; Kufufua mradi wa maji Nyarambo; Kufufua mradi wa Maji Nyambori; Kufufua mradi wa Maji shirati; Kufufua mradi wa Maji Nyihara; Kujenga mradi wa maji Rabour; Kujenga mradi wa Maji Kwibuse; Kusambaza maji shirati ingiri juu; Kujenga mradi wa maji Rorya Tarime; Kujenga mradi wa Maji Musoma Vijijini /Butiama /Bunda

MIRADI SEKTA YA AFYA
1. Kujenga Vituo vya Afya Viwili kata ya Nyamagaro, Rabour
2. Kumalizia Zahanati ya Vijiji Vinne, Kijiji cha Ng'ope, Makongro, Manira, Muhundwe
3. Kumalizia Zahanati ya Deti na Kogaja
4. Kupanua ujenzi wa Zahanati Ikome
5. Kutoa fedha kumalizia majengo ya Hospital ya wilaya ya Rorya
6. Kutoe fedha na kuendeleza na kumalizia ujenzi wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Mara
7. Ujenzi wa Jengo la Mionzi (X-ray) Katika Hospitali ya Wilaya Manyamanyama
6. Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bunda
7. Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda
8. Ujenzi wa Zahanati ya Rubana
9. Ujenzi wa Zahanati ya Kangetutya
10. Ujenzi wa Zahanati ya Kung' ombe
11. Ujenzi wa Zahanati ya Misisi
12. Uendelezaji wa Kituo cha Afya Wariku

MIRADI YA MIUNDOMBINU
1. Kujenga Daraja la mto Mori
2. Kujenga Daraja la Mto Wamaya
3. Kujenga Daraja /Kivuko kowak
4. Kujenga Barabara mpya Km 168 Rorya
5. Kutoa fedha kutekeleza ufunguaji wa Barabara mpya musoma mjini

MIRADI YA SEKTA YA ELIMU
1. Kujenga Shule mpya za Sekondari 8 (Sekondari ya Mkengwa; Sekondari ya Mika; Sekondariya Nyang'ombe; Sekondari ya Ikoma; Sekondari ya Changuge; Sekondari ya Nyambogo; Sekondari ya Rywang'eri; Sekondari ya Changuge)

2. Ujenzi wa shule Shikizi Mbili (Kanu, Obollo shule mpya ya msingi Kigera - Musoma Mjini. Kujenga madarasa 178 mpya kupitia pesa za uviko 19)
3. Ujenzi wa Madarasa zaidi ya 250 Katika Halmashauri ya Mji wa Bunda na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda
4. Ujenzi wa Vyoo Vipya katika Shule za Sekondari na Msingi
5. Kugharimia Elimu Bure Shule za Msingi hadi Kidato cha Sita kwa Mwaka wa Fedha 2021/22 na 2022/23
6. Ujenzi wa Ofisi za Walimu na Nyumba za Walimu
7. Ujenzi wa Mabweni ya Wasichana

MIRADI YA MAJI, KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
✓ Ukamilishaji wa Ujenzi wa Chujio la Maji Nyabehu
✓ Uendelezaji wa Mradi wa Ufugaji Samaki Mchigondo
✓ Ukamilishaji wa Mradi wa Maji Kabirizi
✓ Ujenzi wa Majosho Mapya
✓ Kupunguza Bei ya Mbolea kwa Kutoa Ruzuku Katika Mbolea kwa mwaka 2022/23

UTAWALA NA MAENDELEO YA JAMII
✓ Ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
✓ Ukamilishaji wa Mpango wa Anuani za Makazi Katika Halmashauri ya Mji wa Bunda na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
✓ Ufanisi Katika Zoezi la Kitaifa la Sensa ya Watu na Makazi
✓ Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Kijamii Vya Wanawake, Vijana na Walemavu.
✓ Malipo ya TASAF kwa Kaya Maskini ili kuzikomboa Kiuchumi
✓ Ujenzi wa Kituo Jumuishi Cha Biashara
✓ Ulimaji na Barabara za Zamani na Barabara Mpya za Mitaa, Vitongoji na Vijiji
✓ Ujenzi wa Barabara kwa Kiwango cha Lami NYAMUSWA - KISORYA

View attachment 2557751View attachment 2557753
Baraka ipi hiyo au hii ya kutokuwa na umeme na mvua kuwa adimu
 
Wenye ujasiri wa kufikiri kuwa maisha ni "uteuzi" tuuuuuuuuuuuuuuuuu, endeleeni
 
Back
Top Bottom