Chadema wachapana makonde Mwanza

bora migongano hii itokeapo mapema kwani ktk jumuiya yeyote haikosi. Halafu kuna itikadi ya chama na ya mwanachama binafsi yaweza isioane. Mhimu ni vile cdm inavyoitatua. Ktk kipindi hiki cha chama kujiimarisha haya lazima yatarajiwe. Kuna vyama vimetimua wabunge lkn bado vipo. Nadhani cdm wapo makini huko sio lazima wafike, tusubiri ni mapema kushangilia!
 
..hapa naona ni ukosefu wa nidhamu tu.

..siwaelewi hao madiwani wanaotaka kufanya maamuzi kwa nia ya "kukikomoa" chao chao.

..labda kwasababu CDM hawana vyombo vya dola nyuma yao ndiyo maana kuna wanachama wanakosa nidhamu kiasi hiki.

..hata CCM hujadiliana na kupingana lakini kamati kuu ikishafanya uamuzi basi mjadala huwa unafungwa.
 
Kigaila ndie mwanzilishi wa migogoro ndani ya chadema makao makuu na anafanya hivyo ili apewe route ya kuenda kusululisha hio migogoro na apewe posho ya nje ya kazi yake makao makuu.
kigaila ni mtu mbaya sana na ndie mshauri wa slaa na ananjaa mpaka miguuni.
 
Migogoro ndani ya chama, sehemu za kazi hata majumba ya ibada si jambo geni, na wala haitaisha. Ituwepo siku zote as long as the organtion/party is alive. Cha muhimi ni nia, uwezo na umakini wa kutatua migogoro. Hivyo ndivyo vinavyotakiwa kutiliwa maanani.
 
wagombanao ndio wapendanao ,hebu tuone ukweli wa hoja iliyowasilishwa imeanzia wapi kwake au sehemu tofauti
 
Kutofautiana katika hoja ni jambo la kawaida sana. Watakubaliana tu lakini niwaase madiwani wa mwanza waanze kuheshimu maamuzi ya viongozi wa CDM.
 
Mkimaliza kuongea mseme. kwa kuwa hata kama kuna moto unaochoma kiasi gani cdm ni moto mwingine. wagombanao ndani ndio waendeleao. huwezi kuwa ktika mafanikio ukakosa kukanyaga tope, mwiba, au hata kuteleza. lakini kote huko hakumaanishi mwisho wa safari kusudiwa...
 
Mkimaliza kuongea mseme. kwa kuwa hata kama kuna moto unaochoma kiasi gani cdm ni moto mwingine. wagombanao ndani ndio waendeleao. huwezi kuwa ktika mafanikio ukakosa kukanyaga tope, mwiba, au hata kuteleza. lakini kote huko hakumaanishi mwisho wa safari kusudiwa... "we have to agree to disagree.
 
Hata atoke dokta slaa na wengine upendo wa chadema utacki ndani ya myoyo yetu huyo mjinga ANAYETAKA KUJIUZURU NI MBUNGE WA JIMBO LIPI KAMA NI VTI MALUMU pumbavu ajiuzuru nyangau mdogo.
 
Wakina Bashe na Kigwangala mzee wa vitumbua wanatoleana hadi silaha hadharani, lakini hali ni shwari kwao.
Chadema wakikosoana kwa hoja, mi moto umewaka.

ImageUploadedByJamiiForums1348675432.834781.jpg
 
*Mbunge Highnes Kiwia atupiwa lawama
Habari imekaa kiudaku udaku tu, at subheading inasema kuwa Kiwia(mwanamke if i'm not mistaken),ndiye ametupiwa lawama,halafu ndani wanasema eti wamepingwa kwasababu ni wanawake.Sasa kama wanawake hawakubaliki ndani ya chadema,how come wanayepingana naye ni mwanamke?Ina maana wanawake wa chadema ndiyo hawataki wanawake ndani ya chadema?Halafu tena wanasema "imepasuka",habari nyingine utumbo mtupu.Inconsistencies zinaonyesha ni more of udaku na kukuza mambo tu.
ili kuonyesha msimamo wetu kuhusu kutokubaliana na uamuzi huo kwani inavyoonyesha wanawake hawakubaliki ndani ya CHADEMA," alisema mtoa taarifa wetu.
 
Mgongano wa mawazo ni kitu ambacho hakiepukiki lakini kwa CDM lazima resolution itafikiwa na mwisho tutasonga mbele
 
Hata atoke dokta slaa na wengine upendo wa chadema utacki ndani ya myoyo yetu huyo mjinga ANAYETAKA KUJIUZURU NI MBUNGE WA JIMBO LIPI KAMA NI VTI MALUMU pumbavu ajiuzuru nyangau mdogo.

Ni mbunge wa ilemela kwa asili ni mchaga-kiwia.
 
Habari imekaa kiudaku udaku tu, at subheading inasema kuwa Kiwia(mwanamke if i'm not mistaken),ndiye ametupiwa lawama,halafu ndani wanasema eti wamepingwa kwasababu ni wanawake.Sasa kama wanawake hawakubaliki ndani ya chadema,how come wanayepingana naye ni mwanamke?Ina maana wanawake wa chadema ndiyo hawataki wanawake ndani ya chadema?Halafu tena wanasema "imepasuka",habari nyingine utumbo mtupu.Inconsistencies zinaonyesha ni more of udaku na kukuza mambo tu.

Jmushi naona katajwa mchaga mwenzako ndani ya chaga development manifesto na umekuwa mkali lakini tunajua ukiona wachaga wameungana ujue kuna maslahi(pesa)
 
Jmushi naona katajwa mchaga mwenzako ndani ya chaga development manifesto na umekuwa mkali lakini tunajua ukiona wachaga wameungana ujue kuna maslahi(pesa)
O!Kwahiyo sasa siyo kwasababu wanawake hawapendwi,bali ni kwasababu siyo wachagga?Ama unatoka nje ya mada?
 
Someni falsafa za Marxist. Migongano katika jamii, chama, na institution zingine huibua maovu na hivyo ni chanzo cha maendeleo.
 
Back
Top Bottom