kukukakara
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 496
- 164
bora migongano hii itokeapo mapema kwani ktk jumuiya yeyote haikosi. Halafu kuna itikadi ya chama na ya mwanachama binafsi yaweza isioane. Mhimu ni vile cdm inavyoitatua. Ktk kipindi hiki cha chama kujiimarisha haya lazima yatarajiwe. Kuna vyama vimetimua wabunge lkn bado vipo. Nadhani cdm wapo makini huko sio lazima wafike, tusubiri ni mapema kushangilia!