Chadema wachapana makonde Mwanza

tusiuane Maduhu kumbuka kuna maneno uliambiwa na La kairo siku moja kwenye simu nadhani ilikuwa ni ukweli.Fanya kazi kwa kutegemea kipato cha kazi yako mkuu u....*
 
Last edited by a moderator:
By Opinionated Ngoja niwambie ukweli kwa wale wanaofikiri hizi fujo zililetwa na wanachama halali wanaoipenda chama chao. Ukweli wa mambo ni Matata alitafuta vijana wakwenda kufanya fujo. Usiku wa kuamkia tukio hilo Matata alisikika katika katika hoteli moja ijulikanayo kama Hotel Kingdom ambako alikuwa akinya na watu kadha pamoja na Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela na Jamaa mwingine wa CCM. Matata alisikika akipanga jinsi ya kupata watu wakwenda kufanya fujo kesho yake.

Huyu jamaa(matata) ni jangili wa siku nyingi hapa mwanza na anafahamika. Pia anashirikiana na CCM kutaka kuivuruga Chadema.

usifiche ugonjwa ww,kifo kitakuumbua siku moja.kinachotakiwa hapa ni kutatua mgogoro/tatizo sio kutumia mabavu au kutumia lugha ya kujihami kama ya kwako hapa
Mgogoro upi? huu wa kutengenezwa na Magamba kwa ajili ya kui-destabilize CHADEMA kama alivyokuwa ameahidi "mchumia tumbo" Wassira? Tatizo lenu Magamba mmeweka hadharani mbinu mtakazozitumia kuivuruga CHADEMA; tunafahamu mmepanga kutumia Polisi kama ilivyofanyika kule Iringa, Usalama wa Taifa wanaowapa mbinu za kutumia ili "muimalize" CHADEMA, lakini tunawahakikishieni kwamba halijawahi kutokea Jeshi lililozishinda nguvu za umma. Mwisho wa yote mtaaibika na kuishia kupata presha. Tumewagundua, kamwe hatudanganyiki.
 
Nimejiuliza na jibu nimepata waandishi wanasubiri Chadema wachukuwe nchi wamepewe ukuu wa wilaya.

Hahaaaa Ritz unacompare na uongozi wa baba mwanaasha wa kuwapa watu uongozi kwa kulipa fadhira? Pole ndugu
 
Uwezo wa mahakama unaishia kumrudishia matata udiwani wake, na akirudishiwa udiwani wake anaweza kugombea nafasi ya meya lakini akiwa kama waombaji wengine wa nafasi hiyo ndani ya chama chama kinauwezo wa kumuengua katika wagombea wa nafasi hiyo ndani ya chama bila kuingiliwa na mahakama lakini atabaki kuwa diwani na atakuwa na haki zote za diwani ikiwa ni pam,oja na haki ya kupiga kura kumchagua mea
 
Nilikuwa siamini lakini nimeona gazeti la leo kuna picha madiwani wanapigana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kwa mujibu wa redio Wapo leo kumezuka vurugu kubwa Ilemela baada ya Chadema makao makuu kumtuma mjumbe wake ambaye ni Benson Kigaila kwenda kutengua mapendekezo ya kamati tendaji ya CDM Ilemela iliyokuwa imepitisha majina ya wagombea umeya na naibu meya.

Kwa purukushan hizo zilizotokea ni nini mustakbali wa CDM Mwanza?
 
Fukuza fukuza ya wanachama ndio mzimu unaokitafuna chama pale.kuna ubabe toka juu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom