Chadema wachapana makonde Mwanza

Kigaila ndie mwanzilishi wa migogoro ndani ya chadema makao makuu na anafanya hivyo ili apewe route ya kuenda kusululisha hio migogoro na apewe posho ya nje ya kazi yake makao makuu.
kigaila ni mtu mbaya sana na ndie mshauri wa slaa na ananjaa mpaka miguuni.

Mkuu hivi wewe ni mganga wa kienyeji? Maana ww huwa unapost pumba tu tena za kusadikika.
 
Back
Top Bottom