Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Chadema tuna mawakala wazuri sana,tuna mawakala wa kutosha,mleta thread kakurupuka,hii ndio taarifa rasmi ya chadema,kwamba tupo imara,na tumejipanga vya kutosha...
Chadema wako makini kwa taarifa tu kila kituo kitakuwa na mawakala si chini ya watatu wasiojuana wa Chadema kutoka vyama tofauti.Mkuu, tena inabidi waingie kwenye usimamizi na vidumu vya lita tano kwa ajili ya kukojolea, maji lita tatu na mikate miwili. Hakuna kutoka kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura, mpaka kieleweke.
Dawa ni kukaba hadi penati; si unaona CCM wanavyozusha vurumai? Wamekabwa pande zote.
Nilitaka kupata mshangao wa karne. Anyway,humu JF wapo mavuvuzela ambao usipoangalia wanaweza pandisha BP to 360/220Chadema tuna mawakala wazuri sana,tuna mawakala wa kutosha,mleta thread kakurupuka,hii ndio taarifa rasmi ya chadema,kwamba tupo imara,na tumejipanga vya kutosha...
Chadema tuna mawakala wazuri sana,tuna mawakala wa kutosha,mleta thread kakurupuka,hii ndio taarifa rasmi ya chadema,kwamba tupo imara,na tumejipanga vya kutosha...
X + Y= 1 whereby X= CUF then find Y (10 marks)