Je, ni Haki Chadema Kuwa na Kamati maalumu ya Kuwashawishi Wanachama wa CUF wahamie mtaa wa Ufipa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,113
Katika mambo ya ushindani kuna kanuni zake ndio sababu sisi wengine hatukufurahishwa kwa namna zoezi la Kuunga juhudi lilivyokuwa linaendeshwa na Komredi Polepole

Leo pale Makao makuu ya Chadema kuna Kijana amejitambulisha kama Katibu wa Kamati maalumu ya Kuwashawishi Wanachama wa CUF kuhamia Chadema na akasema Kamati bado ipo na inaendelea na kazi

Je, Kamati Hiyo ni halali kuhujumu Chama kingine?

Mlale Unono!
 
Naam. Ni haki kabisa maana wanashawishi na hawalazimishi. CHADEMA songeni mbele mpate wafuasi na hakikisheni mnalikomboa jimbo la mjukuu wa mwansasu.
 
Katika mambo ya ushindani kuna kanuni zake ndio sababu sisi wengine hatukufurahishwa kwa namna zoezi la Kuunga juhudi lilivyokuwa linaendeshwa na Komredi Polepole

Leo pale Makao makuu ya Chadema kuna Kijana amejitambulisha kama Katibu wa Kamati maalumu ya Kuwashawishi Wanachama wa CUF kuhamia Chadema na akasema Kamati bado ipo na inaendelea na kazi

Je, Kamati Hiyo ni halali kuhujumu Chama kingine?

Mlale Unono!
Usipotoshe, Ile kamati ni ya hao kina Kambaya sio ya Chadema. So baada ya Kambaya kuhama ikaundwa kamati Ili kushawishi wanachama wanaoona wamuunge mkono Kambaya kuhama CUF.

So usiongee jambo usilokua na uhakika nalo.... CUF ilishakufa so Chadema haiwezi unda kamati ya kushawishi wanachama wa chama mfu ilihali CCM ina mamilion ya wanachama.

JF mods futeni hii takataka
 
Sasa chama kuhujumiwa ni ichi cha CUF, ambacho kilisha jifia, na kuwaacha wabachama njia panda , ni bora watafute mbadala ,na kama kamati ipo sawa ili kuonesha njia ilihali hakuna anaelazimishwa kujiunga chadema
 
Katika mambo ya ushindani kuna kanuni zake ndio sababu sisi wengine hatukufurahishwa kwa namna zoezi la Kuunga juhudi lilivyokuwa linaendeshwa na Komredi Polepole

Leo pale Makao makuu ya Chadema kuna Kijana amejitambulisha kama Katibu wa Kamati maalumu ya Kuwashawishi Wanachama wa CUF kuhamia Chadema na akasema Kamati bado ipo na inaendelea na kazi

Je, Kamati Hiyo ni halali kuhujumu Chama kingine?

Mlale Unono!
Hayakuhusu, siasa ni sana haina formula na Wala sio one way traffic ⛔
 
Usipotoshe, Ile kamati ni ya hao kina Kambaya sio ya Chadema. So baada ya Kambaya kuhama ikaundwa kamati Ili kushawishi wanachama wanaoona wamuunge mkono Kambaya kuhama CUF.

So usiongee jambo usilokua na uhakika nalo.... CUF ilishakufa so Chadema haiwezi unda kamati ya kushawishi wanachama wa chama mfu ilihali CCM ina mamilion ya wanachama.

JF mods futeni hii takataka
Mbona umepanic?

Shehe Kijogoo Kamati yao ni kuvuna Wanachama Wapya kutoka CUF acha ubishi wa kimbwiga!
 
Katika mambo ya ushindani kuna kanuni zake ndio sababu sisi wengine hatukufurahishwa kwa namna zoezi la Kuunga juhudi lilivyokuwa linaendeshwa na Komredi Polepole

Leo pale Makao makuu ya Chadema kuna Kijana amejitambulisha kama Katibu wa Kamati maalumu ya Kuwashawishi Wanachama wa CUF kuhamia Chadema na akasema Kamati bado ipo na inaendelea na kazi

Je, Kamati Hiyo ni halali kuhujumu Chama kingine?

Mlale Unono!
Wameshindwa kuwashawishi wanachama wabaki CHADEMA wao wanakimbilia kutafuta walioko nje. Aibu kubwa
 
Katika mambo ya ushindani kuna kanuni zake ndio sababu sisi wengine hatukufurahishwa kwa namna zoezi la Kuunga juhudi lilivyokuwa linaendeshwa na Komredi Polepole

Leo pale Makao makuu ya Chadema kuna Kijana amejitambulisha kama Katibu wa Kamati maalumu ya Kuwashawishi Wanachama wa CUF kuhamia Chadema na akasema Kamati bado ipo na inaendelea na kazi

Je, Kamati Hiyo ni halali kuhujumu Chama kingine?

Mlale Unono!

No one can define wrong from right in this country ambapo kuna mtu anaweza chana hukumu ya Judge na asifanywe kitu.
 
"Kuna kijana amejitambulisha kama Katibu wa kamati maalumu ya kuwashawishi wanachama wa CUF kuhamia Chadema"
Katika mambo ya ushindani kuna kanuni zake ndio sababu sisi wengine hatukufurahishwa kwa namna zoezi la Kuunga juhudi lilivyokuwa linaendeshwa na Komredi Polepole

Leo pale Makao makuu ya Chadema kuna Kijana amejitambulisha kama Katibu wa Kamati maalumu ya Kuwashawishi Wanachama wa CUF kuhamia Chadema na akasema Kamati bado ipo na inaendelea na kazi

Je, Kamati Hiyo ni halali kuhujumu Chama kingine?

Mlale Unono!
Bwashee hata kama angejitambulisha yeye kuwa ni Kaimu Mwenyekiti Taifa, ungalipandisha uzi pia hapa jukwaani!? Akili ya kuambiwa ongezea na ya kwako pia.
 
"Kuna kijana amejitambulisha kama Katibu wa kamati maalumu ya kuwashawishi wanachama wa CUF kuhamia Chadema"Bwashee hata kama angejitambulisha yeye kuwa ni Kaimu Mwenyekiti Taifa, ungalipandisha uzi pia hapa jukwaani!? Akili ya kuambiwa ongezea na ya kwako pia.
Ameongea kwa ruhusa ya John Mrema mtendaji Mkuu wa Chadema, Makao makuu ya Chadema Ufipa st Kinondoni Shamba!
 
Machampion wa ushoga si Tundu Lissu na Fatma Karume au umesha sahau?
Usipotoshe wewe mbwiga machampion wa ushoga ni CCM na serikali yake
tapatalk_1570946898001.jpg
FB_IMG_1591963091092.jpg
Screenshot_20210126-171647.jpg
FB_IMG_1638511560064.jpg
 
Chama kinaundwa na watu! Kwa hiyo lazima chama kiwe na kumkakati wa kueneza sera zake ili kushawishi watu wengi wajiunge na chama kwa njia yo yote!
 
Back
Top Bottom