CHADEMA na Upungufu wa Mawakala Igunga

Chadema tuna mawakala wazuri sana,tuna mawakala wa kutosha,mleta thread kakurupuka,hii ndio taarifa rasmi ya chadema,kwamba tupo imara,na tumejipanga vya kutosha...
 
Mkuu, tena inabidi waingie kwenye usimamizi na vidumu vya lita tano kwa ajili ya kukojolea, maji lita tatu na mikate miwili. Hakuna kutoka kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura, mpaka kieleweke.

Dawa ni kukaba hadi penati; si unaona CCM wanavyozusha vurumai? Wamekabwa pande zote.
Chadema wako makini kwa taarifa tu kila kituo kitakuwa na mawakala si chini ya watatu wasiojuana wa Chadema kutoka vyama tofauti.
 
Chadema tuna mawakala wazuri sana,tuna mawakala wa kutosha,mleta thread kakurupuka,hii ndio taarifa rasmi ya chadema,kwamba tupo imara,na tumejipanga vya kutosha...
Nilitaka kupata mshangao wa karne. Anyway,humu JF wapo mavuvuzela ambao usipoangalia wanaweza pandisha BP to 360/220
 
Ndio shida za kuolewa halafu kazi huna.Lazima umsifie mumeo ili ule
 
Uliza tena huenda unamaanisha,Cuf wamepungukiwa na mawakala lakini si chadema.

Bila shaka umeamua kupima upepo
 
Nashindwa kuamini kuwa chama makini kinakosa mawakala. Jaribu uongo mwingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom