CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

Hakuna change CUF wala CHADEMA wote wababaishaji tu!.. chama kubwa ni CCM tu kila kona ya Tanzania!

Tofauti ya CUF na CDM ni moja! Chadema wadini...wanasiasa za fujo CUF wanajitahidi Kuwa makini na siasa za utulivu

your impurity starts here.CDM wapo katika class yao si ccm wala CUF wanoweza kuwa class ya CDM.CDM hata wakicheka CCM parashika.Mabinti wawili 2 wamejiunga na CDM na kutajwa surname ya baba yao tayari patashika CCM.
 
Umetumwa na Kibaraka wa ccm kikofia chekundu Douvutwa, kura za Zbar ni jimbo la Ubungo si lazima kwenda huko,kumbuka cdm walishika no. 2 kwenye uchaguzi mdogo huko Zbar, acha u-alshabaab ww, mbona ccm haipo Pemba, msalimie J.Tendwa, mke wa ccm ni cuf.
 
Ilikuwapo mkuu, iliposhika nafasi ya 2, Jussa akasema kuwa eneo lile wengi walikuwa wakristo, tatizo unafikiri kwa kutumia masaburi,swali ccm ipo Pemba?, msalimie msajili wako mpendwa J.Tendwa na uache tabia za alshabaab wewe, tangu muoane na cuf unaringa sn mkuu.
 
Hongeleni wote mliochangia, na msiwe wachoyowa kwa kutoa shukrani kwa kuwaamsha. Yapo mengi mkiendelea hivyo mtayapata. Angalizo msinywa viroba na kuvuta bagi ndio muanze kuchangia maada, kwani penye ujumbe utaweka tusi ambalo hata halijengi. Kwa kipimo hiki hiki tutumiacho kuficha majina asili kwenye Jr ndicho tukitumiacho kuwahadaa viongozi wetu wakati wa kura, kwa peoples.........Energy !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Tujipange
 
2015 ni uchaguzi mkuu . Lets say chadema imeshinda uchaguzi then itakuwaje kuhusu zanzibar ambako nadhani haikubali zaidi ya 99% . Na hakuna kiongozi wala mpiga kura anayeongelea hilo. Sasa nachojiuliza je imejiandaa vipi au itatawala vipi?
 
ngoja katiba mpya ije na iseme ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na asilimia kadhaa ya kura za kila upande wa muungano watakuja wenyewe tu ila kwa sasa hawana haja ya kuja huku maana kura za tanganyiaka zinawatosha kuongoza nchi
 
Ndugu ya Tanaganyikajeki, ZANZIBAR ni sehemu ndogo sana ambayo haiwezi kuwa na ugumu wa kuwabadilisha nawazo ikaiunga mkono CHADEMA.
Mathalani wanatambua sana uwezo walionao CHADEMA na ndiyo maana kama utakumbuka uchaguzi mdogo wa ubunge mapema mwaka huu, CHADEMA walishika nafasi ya pili tena kwa tofauti ndogo ya kura.
 
Ndugu ya Tanaganyikajeki, ZANZIBAR ni sehemu ndogo sana ambayo haiwezi kuwa na ugumu wa kuwabadilisha nawazo ikaiunga mkono CHADEMA.
Mathalani wanatambua sana uwezo walionao CHADEMA na ndiyo maana kama utakumbuka uchaguzi mdogo wa ubunge mapema mwaka huu, CHADEMA walishika nafasi ya pili tena kwa tofauti ndogo ya kura.

CHADEMA walishika nafasi ya pili tena kwa tofauti ndogo ya kura ni uongo ulio wazi na kujipa tamaa ya kijinga juu muelekeo wa siasa z'bar wewe unazungumzia jimbo la uzini tena sio ubunge ni uakilishi raza akaibuka mshindi CDM ilipata kura 251 wakati CCM anakaribia kura elfu 10 kweli hiyo ni tofauti ndogo ama kweli mwenye kupenda chongo atasema kekenza
 
CHADEMA walishika nafasi ya pili tena kwa tofauti ndogo ya kura ni uongo ulio wazi na kujipa tamaa ya kijinga juu muelekeo wa siasa z'bar wewe unazungumzia jimbo la uzini tena sio ubunge ni uakilishi raza akaibuka mshindi CDM ilipata kura 251 wakati CCM anakaribia kura elfu 10 kweli hiyo ni tofauti ndogo ama kweli mwenye kupenda chongo atasema kekenza

ha ha ha..aisee umemuumbua kweli jamaa!
 
una matatizo ya akili . mimi nimeuliza swali baadala ya kujibu na kama hujui ni bora kukaa kimya . unaongea pumba .masaburi yako...
 
Wakuu nmefanya angalizo hili kwa CDM, ili kujiletea heshma na kuzidisha wigo wa siasa basi ni vema kuiweka CDM ndani ya Znz hii itasaidia ushindani wa kisiasa kwa Nchi nzima ya Tanzania kuliko ilivyo hivi sasa.Kuingia Chadema Zanzibar kutaleta chachu ya siasa na kuifanya CUF na CCm kufunguka macho na akili.

Itawasaidia CUF pia kuweka wagombea wasomi na si wavuvi wa samaki, Itawasaidia CCM kuweka wagombea wanaweza kutatua matatzo na wananchi. Nawashauri Chadema kuingia ndani ya Zanzibar na wapo watu ambao mimi washawai kuniuliza juu ya kadi za Chadema kuna kila hali huk Visiwani watu kuikubali Chadema.

Je mnaonaje hili wenye mawazo zaidi toeni
 
Nchi nzima wapiga kura wake hawafikii wapiga kura wa jimbo la Ubungo,kwa kifupi Zanzibar is not area of concentration of CDM!
 
Wakuu nmefanya angalizo hili kwa CDM, ili kujiletea heshma na kuzidisha wigo wa siasa basi ni vema kuiweka CDM ndani ya Znz hii itasaidia ushindani wa kisiasa kwa Nchi nzima ya Tanzania kuliko ilivyo hivi sasa.
Kuingia Chadema Zanzibar kutaleta chachu ya siasa na kuifanya CUF na CCm kufunguka macho na akili. Itawasaidia CUF pia kuweka wagombea wasomi na si wavuvi wa samaki, Itawasaidia CCM kuweka wagombea wanaweza kutatua matatzo na wananchi.
Nawashauri Chadema kuingia ndani ya Zanzibar na wapo watu ambao mimi washawai kuniuliza juu ya kadi za Chadema kuna kila hali huk Visiwani watu kuikubali Chadema.
Je mnaonaje hili wenye mawazo zaidi toeni

Aaaaaggggghhhh! watu wengine bwana! kama huna cha kuandika si ukalale, kichwa cha thread yako hakiendani na ujumbe unaoutoa,UNASUMBUA WASOMAJI....
 
Back
Top Bottom