CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

Chadema hawaitengi Zanzibar ila wanaitambua Zanzibar kama ni nchi huru kwaiyo hawawezi kuingilia mipaka yake, na kama ingeliitaja Zanzibar ungekuja na mpango mwingine hapa.chadema ni chama makini hata sisi wazanzibar tunajua hivo. Tunakipongeza kwa kuwafungua Watanganyika.
 
chadema wakiisemea zanzibar mnalalama, wakinyamaza mnalalama, mnalalama kila kitu, mnataka kujitenga bado mnalalama, aaaah walalamishi.
 
Habari leo nafikiri ni moja ya magazeti ya CCM yanayotumika katika upotoshaji.CHADEMA ilichopeleka ni mapendekezo ya utawala wa kimajimbo,ambayo ndiyo njia nzuri ya kupeleka madaraka kwa wananchi badala ya mfumo wa sasa.Shida ya kiutawala iko sana upande wa Bara,kwa sababu ya eneo lake kubwa,Zanzibar ni kama mkoa mmoja wa huku bara,hivyo kama mfumo huo utaingizwa kwenye katiba,Zanzibar pia inaweza ikawa na majimbo mawili,na Raisi wa Zanzibar pia akaendelea kuwepo.
 
Chadema hawaitengi Zanzibar ila wanaitambua Zanzibar kama ni nchi huru kwaiyo hawawezi kuingilia mipaka yake, na kama ingeliitaja Zanzibar ungekuja na mpango mwingine hapa.chadema ni chama makini hata sisi wazanzibar tunajua hivo. Tunakipongeza kwa kuwafungua Watanganyika.....

Niliposoma post ya huyu mleta thread, nikajua kabisa hakusoma kwa undani mapendekezo ya CDM. Mkuu tuachane na huyo mpuuz mchonganishi ambaye bado ananuka maziwa ya mama yake, mwenye kichwa cha panzi....
 
Kwa Mujibu Wa Sheria ya Vyama Vingi, vyama vyote vya siasa vilivyopata Usajili wa Kudumu ni lazima viwe ni vya Kitaifa, sasa CHADEMA Zanzibar hamuitaki?

Mbona hamuimarishi Chama maeneo haya?

MKUU hueleweki. CHADEMA kimesajiliwa baada ya kufuata masharti ya usajili ikiwa ni pamoja na kuungwa mkono na wanachama upande wwa Zanzibar. Pili viongozi wake ni wa kitaifa na Makamu mwenyekiti wake kutoka Zanzibar ni "JEMBE" kweli kweli. Au hujui yote haya?
 
Mimi nadhani wewe huelewi unachokiulizia ,ama la kumbukumbu zako ndogo,hivi hukumbuki kuwa chadema ilisimamisha mgombea kwenye uchaguzi mdogo wa wmakilishi kule uzini?hivi hujui kuwa pia kwenye uchaguzi wa madiwani juzi tuu chadema walweka mgombea makini huko tanga,bumbuli kwa january makamba?
 
Wana JF,

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu ratiba za mikutano ya CHADEMA kukusanya maoni ya wanachama juu Rasimu ya Katiba. Hakika tumeshuhudia viongozi wa Chama hiki wakizunguka katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara huku viongozi wakuu wa chama hicho wakitumia Helkopta ili kuweza kuyafikia maeneo mengi kwa wakati mmoja. kwa upande wangu, ingawa sijaridhika na utaratibu unaotumiwa na CHADEMA, kitendo cha kuzunguka maeneo mengi kwa wakati mmoja pengine kilitarajiwa kuwafikia wanachama wengi. Ijapokuwa mikutano yao inaenda kinyume na Sheria hasa kutokana na kukusanya watu wenye malengo yasiyofanana, CHADEMA, wameonesha dharau kubwa kwa Zanzibar na ndipo nilipofikia hatua ya kujiuliza maswali yafuatayo;

  1. Je, CHADEMA hawana wanachama Zanzibar? kama wapo wanachama wao huko, je wao hawastahili kutoa maoni yao kupitia chama chao?
  2. Kwa CHADEMA, Zanzibar si sehemu ya Tanzania?
  3. Kwa tabia wanayoonesha viongozi wa CHADEMA kwa sasa, je hatma ya Muungano ipoje ikiwa ndoto wanazoota za kuchukua nchi hata kama itakuwa mwaka 2050 zitatimia?
  4. Kwa nini CHADEMA wanaichukia sana Zanzibar?

Ninaamini kuwa wapo wananchi wengi na members humu JF ambao wanajiuliza maswali hayo hayo na mengine ya aina hiyo. Ni wakati muafaka sasa kwa viongozi wa CHADEMA kujitokeza na kujibu maswali haya vinginevyo tukubaliane kuwa CHADEMA ni adui wa Zanzibar na Muungano. Sote tuungane kuwakemea na kuwakataa kwani ubaguzi wanaoonesha sasa kwa Zanzibar unaashiria jambo la hatari mbele ya safari
 
Ha ha ha! Mods wameunganisha huu ushuzi na thread ya mwaka 2010. Hongereni sana mods kwa kumtendea haki huyu nyambaf.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom