Kauli ya Chadema " Tunaanza na Mungu na Tunamaliza na Mungu" imewalinda sana, Makamanda siyo Washirikina!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Tofauti na vyama vingine vya Upinzani hawa Chadema wanaamini katika.Mungu wa mbinguni, hawanaga Ushirikina kabisa

Kwa mfano niliona clip Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani Zanzibar akiwa Kigoma anaruka migongo ya Wanachama Wazalendo, nilishangaa sana

Mungu Ibariki Chadema 😂🔥

Mlale Unono!
 
Wao huyo Mungu wao wanamkubali tu akiwa anaua.

Hatahivyo,wakifa watu wwnye maslahi kwao....

....hawamtaji Mungu wao na wanasingizia Ushirikina, Uchawi waganga na sumu.

Sasa Ukizingatia misemo yao kuwa "Hakuna limshindalo mungu" au 'Mungu mkubwa' unabakia kushangaa Mungu wa wana CHADEMA pale suala lililo na lisilo na masilahi kwao linapotokea

Najiulizaga, hivi ni Mungu wetu huyu huyu au wao wana Mungu wao.?😤🤯🤔
 
Kuna mpuuzi fulani ameandika uzi ety JPM alikuwa mshirikina ndio maana kila hutuba alikuwa anamtaja Mungu, sasa akija kwenye huu uzi atasemaje
 
Kuna mpuuzi fulani ameandika uzi ety JPM alikuwa mshirikina ndio maana kila hutuba alikuwa anamtaja Mungu, sasa akija kwenye huu uzi atasemaje
Huyo ni CHADEMA tu. A typical CHADEMA move.

Na hapa, watakuja tu.

Sasa unawasikia wanamwomba Mungu awashukie watu wa Wasafi.

Sia ajabu wakasema kulikuwa na Ushirikina kule.
 
CCM ni mazwazwa, vilaza, washirikina, walozi, wachawi, wauaji na kwa ujumla ni baba wa uovu.
Viapo wafanyavyo ndio uthibitisho wa uhayawani wao.
 
Back
Top Bottom