Nilichogundua Benson Kigaila wa Chadema ndiyo kawafumbua macho Watanzania kuhusu Tamisemi kutotambuliwa na Miswada wa Uchaguzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Baraza la Vyama Vya Siasa liliketi kwa siku mbili na Wajumbe wa Vyama Vyote walitoa mawazo yao

Nilichogundua Benson Kigaila wa Chadema Ule Mchango wake ndio umebebwa positively na Watanzania wote pamoja na Taasisi zao za Kijamii

Chadema kwenye maswala ya kitaifa inakuwaga na Mchango mkubwa sana
 
Hotuba ya Benson Kigaila ilijaa nondo sana. Ukumbi wote ukabaki kimya. Nadhani wangechukua ule ushauri wa Kigaila, wangefika mbali. Shida ukumbi ulijaa machawa wa Samiah.
 
Hotuba ya Benson Kigaila ilijaa nondo sana. Ukumbi wote ukabaki kimya. Nadhani wangechukua ule ushauri wa Kigaila, wangefika mbali. Shida ukumbi ulijaa machawa wa Samiah.
Kuna Watu Mungu amewabariki sana katika maeneo fulani

Benson ana uwezo mkubwa wa kuelezea mambo
 
Benson Kigaika AKILI KUBWA. Jamaa alivyomaliza UDSM alikuwa anafundisha vijana tuition, PCM, mitaa flani mbele ya majumba sita kabla ya banana, waulizeni wanafunzi wake wawaeleze UWEZO wake huyu jamaa. Kuanzia asubuhi hadi jioni anashusha nondo, halafu ngoma zote zipo KICHWANI. BENSON
KIGAILA aka Singleben, ni mtu na nusu, very brilliant!
 
..kigaila ndiye aliyeongoza ujumbe wa Cdm uliokutana na jeshi la Polisi kwa ajili ya maandalizi ya maandamano ya amani.
 
Back
Top Bottom