Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.
eleza vizur sio unakurupuka kama unakula ugoro
Acha maneno ya maudhi wewe Gamba.Hujaelewa nini hapo?[sasa kama ni habar nzur kuna haja gan ya kuiandika nusu nusu? Hapa amesema cdm ndo wameshnda hakusema nani walikuwa wapinzan wake.na hata kama ni mtihan amefel kwa sababu hajainyesha njia ya jibu
Akili zako ndogo kama za funza
Ndio safari ya kuelekea 2015 ushindi kila mahali
Maana yake vichaa mmewapa kuraMbona huku kwetu chadema wameshinda kiti cha vichaa na wabwatukaji.
THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN.
tuambie anaitwa nani ili tuanze kumjumuisha kwenye pilika za kuidai nchi yetu.
Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.