Tume ya Uchaguzi wa Pakistani

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Wakuu waTume wamejiuzulu na kukiri wizi wa kura ,wakisadikisha kupora kura sahihi za wapiga kura 70000 za mgombea Uraisi Imran ambae hata hivyo ameibuka kidedea.

Wakuu hao wamesema amri za kubadilisha zilitoka kwa wakuu wa vyombo vya usalama.

Hapa kwetu wanaobadilisha ni hao wakuu wa Tume na wasimamizi wa waliowekwa na serikali.

Pakistani kunanukia mapigano ya ndani, vizuri wananchi wake wanayaweza.

Serikali ya Tanzania ijifunze kukubali matakwa ya uchaguzi kwa kuepusha mizozo isiyojenga nchi na badala yake ni kuwepo fujo na shida za kiutawalaji.
 
Hivi haya mambo ya kutokukubali kumpa mwingine madaraka sijui yamekaaje?
Nasisi wananchi tunaijua haki yetu ya msingi juu ya uchaguzi?! kuna elimu ya kiakili inahitajika sana kwa wananchi kuacha kulalama mitandaoni tuweze kupaza sauti kwa kile kisicho haki juu ya maamuzi ya wananchi.
 
Hakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom