Idofu
Senior Member
- Oct 24, 2022
- 108
- 187
Nawakumbusha tu walioingia tano bora kwenye Uchaguzi wa ndani ya CCM 2015 ni hawa wafuatao;
Ukiangalia kwa umakini kutoka katika orodha hiyo utagundua Mgombea wa kiume aliyebaki ni January Makamba baada ya Hayati Magufuli na Membe kufariki!
Kwa hiyo kelele zote tunazoziona, ni kutokana na hofu hii kwa mwaka 2030!
January Makamba ana turufu kubwa ya kuibuka kidedea ndani ya CCM na kuwa Mgombea Urais kwa mwaka 2030!
- Cammilius Membe
- January Makamba
- Asha Rose Migiro
- Amina Salum Ali
- John Pombe Magufuri