Chadema kidedea uchaguzi UDSM

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.
 
Acha maneno ya maudhi wewe Gamba.Hujaelewa nini hapo?[sasa kama ni habar nzur kuna haja gan ya kuiandika nusu nusu? Hapa amesema cdm ndo wameshnda hakusema nani walikuwa wapinzan wake.na hata kama ni mtihan amefel kwa sababu hajainyesha njia ya jibu
 
Chaguzi za vyuo zafuata itikadi? Mbona hatuambiwi sifa nyingine kama.....TAPELI ashinda UDSM,SHOGA atwaa urais UDSM...? Hebu elezeni na sifa hizi huenda anazo pia!
Ili 2015tumpe jimbo
 
Kwa heriiiiiiiiiiiiiiii mafisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mbona huku kwetu chadema wameshinda kiti cha vichaa na wabwatukaji.
THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN.
 
tuambie anaitwa nani ili tuanze kumjumuisha kwenye pilika za kuidai nchi yetu.

Saif ni kama kalazimishwa kuleta hilo bandiko, hakuioenda kabisa hiyo habari.
Saif kama hutaki kuelezea ipasavyo ni bora ufute hiyo thread.
 
Yap yap gwandaz. Tuwarithishe hata wadogo zetu walioko secondari na primary pia. Tuwaeleze ukweli na kwa uwazi kwamba, 'magamba ni sumu ya maendeleo'. Big up!
 
Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.

mimi sijakuelewa mkuu! Ebu dadavua kidogo. Uchaguz gan? Nani kashinda nani kashindwa, ......?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom