Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Status
Not open for further replies.
Pale pale, hujui kwamba CHADEMA wana team capable ya ku form government, for all we know watu wa caliber ya ku form government CHADEMA wanaweza kuwa hawafiki 15.

Hiyo ya sijui unasadiki wewe. Mimi sijasema sijui. Usinisemee bana. Kwani umekuwa msemaji wangu?
 
I see you can't take a challenge.

Ma dude, what challenge? I never back away from any challenge(s).......

Mabere Marando
Kitila Mkumbo
Augustine Moshi
John Mnyika
Zitto (though I hate his guts)
Tundu Lissu
Mwesiga baregu
Mwenyekiti wao owner wa Bilicanas

Just to mention a few......na ukitaka wengine nitaongeza....

Na kuunda serikali si lazima uchukue wanachama wa chama chako tu. Kuna Watanzania takribani milioni 40 na nakataa kuwa hakuna wazalendo watakaoshindwa kuunda serikali au watakaokataa pindi waitwapo na amiri jeshi mkuu kutumikia taifa lao. Sitaki, nakataa kabisa hilo.
 
Dang ma dude, serikali ya mtu nane.

Regia mbona umemsahau ? Na Shibuda... :)
 
Siyo ya watu nane...nimetaja tu watu ambao wanaweza kuwa kwenye serikali....rudi tena uone nyongeza yangu. Katika watu takribani milioni 40 hakuwezi kukosekana watu wa kuunda serikali. Au unataka niorodheshe majina ya watu ninaowajua binafsi wanaoweza kuunda serikali? Hata machizi wangu Moelex na Rev Kishoka wanauwezo kabisa wa kuwa kwenye serikali....

Au wewe unataka idadi gani?

CHADEMA sio Wyclef Jean bana.....lol
 
Kumbe hata machizi wanaweza kuwa katika serikali ya CHADEMA ?

I rest my case.
 
Hahahaaa...wewe ni bingwa wa kugeuza maana za maneno. Kwa akili yako kweli unadhani nilimaanisha machizi 'machizi'....acha hizo bana. Umepewa majina uliyokuwa unayataka. Kama vipi yapinge, uainishe sababu zako za kuyapinga, na uweke watu mbadala unaoona wanafaa. Acha ku spin maneno out of context. You can do better than that.
 
Mazee ningependa watu wengi zaidi wa vote CHADEMA, only because naamini tunahitaji mabadiliko.

Lakini at the same time siamini kwamba CHADEMA watashinda urais au kuwa na majority ya viti vya bunge. Nisingependa kuona CHADEMA wanashuka chini kutoka asilimia za kura za urais walizopata 2005 (11%) wala kupunguza viti vya bunge.

Lakini for sure CHADEMA nao bado hawako ready for prime time, ndiyo maana naona ni bora kuwe na gradual change, wapate tough love hapa, kama wana moyo wa kujifunza waweze kujifunza, labda 2015 au 2020 wataweza kuchukua nchi with confidence.
 
Finally, Kiranga mwanaccm na mtetezi wa mafisadi hapa JF ametoka nje ya closet.

Naipiga picha hii post ili niwe naiweka kwenye mabandiko yake kila anapojaribu kuleta unafiki wake.
 
Unaweza kusema hivi kama tu hunifuatilii na hujui ninachosimamia, wala si mara ya kwanza kusema hili, na ninavyobonda CHADEMA ujue nishabonda CCM maradufu. Kuanzia Kikwete, Malecela, Msekwa, Chiligati etc, "Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea" mpaka Nyerere mwenyewe ambaye hata CHADEMA hawawezi kumgusa, nipo on record hapa JF nishawaua sana tu, sasa sielewi unavyosema mimi ni CCM una maana gani.

Kwa hiyo huwezi kusema hata siku moja kwamba mimi ni mtetezi wa CCM.

Tatizo lenu mna operate kwa kutumia one track mind, kwamba mtu yeyote anayebondea CHADEMA ni kibaraka wa CCM. Hamjui kwamba kuna watu haturidhiki na uongozi wote wa kisiasa Tanzania, si CCM wala CHADEMA. Na tukibondea "chama mbadala" haina maana kwamba tunaunga mkono CCM.

Hili linakuwa gumu sana kuonekana kwa simpleton wa kufikiri "if you are not with us, you are with our enemy" mimi naweza kuwa siko na ninyi na wala sipo na enemies wenu CCM.

Uki expose hii simplicity of thought unanionyesha sababu zaidi kwa nini niko sawa kuwa critical of your lot.
 
Unaweza kusema hivi tu kama hunifuatilii na hujui ninachosiamamia, wala si mara ya kwanza kusema hili, na ninavyobonda CHADEMA ujue nishabonda CCM maradufu.

Kwa hiyo huwezi kusema hata siku moja kwamba mimi ni mtetezi wa CCM.

Kuna wakenya marafiki zangu huwa wanatania kuwa watanzania tuna kiswahili mreeefu? Sijui kama statement yao ni kweli ila wewe unafit kabisa hiyo scenario.

Wewe unachoendeleza hapa ni maneno tu lakini intention yako i wazi. Ukisema kuwa chadema haifai, je nani anafaa?

Tatizo lenu mna operate kwa kutumia one track mind, kwamba mtu yeyote anayebondea CHADEMA ni kibaraka wa CCM. Hamjui kwamba kuna watu haturidhiki na uongozi wote wa kisiasa Tanzania, si CCM wala CHADEMA. Na tukibondea "chama mbadala" haina maana kwamba tunaunga mkono CCM.

Wewe unaunga mkono CCM na wala hilo halina ubishi.

Hili linakuwa gumu sana kuonekana kwa simpleton wa kufikiri "if you are not with us, you are with our enemy" mimi naweza kuwa siko na ninyi na wala sipo na enemies wenu CCM.

Uki expose hii simplicity of thought unanionyesha sababu zaidi kwa nini niko sawa kuwa critical of your lot.

Tatizo ni kuwa, October hii kuna uchaguzi kati ya CCM na CHADEMA (jumlisha upinzani)

Wewe chaguo lako ni nini?
 
Kuna wakenya marafiki zangu huwa wanatania kuwa watanzania tuna kiswahili mreeefu? Sijui kama statement yao ni kweli ila wewe unafit kabisa hiyo scenario.

Wewe unachoendeleza hapa ni maneno tu lakini intention yako i wazi. Ukisema kuwa chadema haifai, je nani anafaa?

Wewe unaunga mkono CCM na wala hilo halina ubishi.

Tatizo ni kuwa, October hii kuna uchaguzi kati ya CCM na CHADEMA (jumlisha upinzani)

Wewe chaguo lako ni nini?

Inawezekana Wakenya wako wako sawa in some cases kuna Wabongo wenye Kiswahili kirefu.

Lakini pia kuna cases Kiswahili chao ni cha kuombea maji na hata mtu akiongea Kiswahili cha kawaida wataona unaongea Kiswahili kirefu, in that case I am not talking too fast, they are listening too slow, Kiswahili changu sio kirefu sana, chao ndicho kifupi sana.

Nishakwambia sio tu chaguo langu ni lipi, bali kwa sababu gani na nani atashinda.

Lakini kwa sababu "Kiswahili chako kifupi" unauliza swali nililokwishajibu.

Not only one track minded, but also blind as a deaf bat too.
 
Kama nilivyoahidi,

Ninarudia kubandika ulichoandika hapa juu huku nikiweka msisitizo kwenye point za muhimu. Nitaendelea kufanya hivi kwa siku nyingi sana zijazo:

Kiranga said:
Mazee ningependa watu wengi zaidi wa vote CHADEMA, only because naamini tunahitaji mabadiliko.

Lakini at the same time siamini kwamba CHADEMA watashinda urais au kuwa na majority ya viti vya bunge. Nisingependa kuona CHADEMA wanashuka chini kutoka asilimia za kura za urais walizopata 2005 (11%) wala kupunguza viti vya bunge.

Lakini for sure CHADEMA nao bado hawako ready for prime time, ndiyo maana naona ni bora kuwe na gradual change, wapate tough love hapa, kama wana moyo wa kujifunza waweze kujifunza, labda 2015 au 2020 wataweza kuchukua nchi with confidence.
 
Kama nilivyoahidi,

Ninarudia kubandika ulichoandika hapa juu huku nikiweka msisitizo kwenye point za muhimu. Nitaendelea kufanya hivi kwa siku nyingi sana zijazo:

Point za muhimu for sure, although umuhimu wake unakujaje linaweza kuwa swala ambalo tuna mitazamo tofauti. Which begs the question that more than just highlighting these points, maybe you should elucidate your perspective, if at all you are interested in a productive exchange.

Of course you could be entirely passive, and that is quite OK with me too.
 
Angalia kilichoulizwa na unacho asume kimeulizwa, tofauti. Don't assume, you make an ass of u and me.

wooooooooooooh I put heat on you dude ,see now you screaming like a L.e.s.b.ia.n.......easy aesy easy.!!!
 
Oooh mimi nimeshavua kofia long - Sikuwezi mkuu wangu, kwako mchana ni Usiku wa kiza na unataka mtu ku prove hali wewe umefumba macho..haaa! haaa! haaa!

AHAAA this is cool,nimeipata hiii na nimeipenda
 
Pale pale, hujui kwamba CHADEMA wana team capable ya ku form government, for all we know watu wa caliber ya ku form government CHADEMA wanaweza kuwa hawafiki 15.

Wewe kama umetumwa utatoka kapa unataka kujua uaze swear or what?Ukiona kimya ujue wamekushtukia ,wafuate kwenye kampeni hapo utawabana watakuwa hawana jinsi for now I guess there not ready,ndio maana ukakuuliza unauliza, Je unaluiza kama kuwa kuna watanzania wanaoweza kuongoza kwa mjibu wa sera na ilani ya Chadema ?kwa maana chadema wakishinda wanaweza kukuweka wewe ama bosi wako mkwere (ahaa rais wangu duh poor me)yeyote ila inachotakiwa kutekereza ilani na sera za chadema.Ama katiba inapinga hili sir?
so what kind of Q to put upfront kama hauna lako jambo,!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom