Kwanini Upinzani hasa CHADEMA hawajadai mabadiliko kuhusu suala la uapishwaji mawakala wa vyama katika vituo vya kura?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,626
46,270
Sehemu mojawapo ambayo vyama vya upinzani huwa vinakuwa na malalamiko makubwa wakati wa uchaguzi ni figusu katika uapishwaji wa mawakala wa kusimamia kura za wagombea katika uchaguzi.

Nilitegemea CHADEMA kudai mawakala wawe wanaapishwa na maafisa wa mahakama kwa maana ya majaji, mahakimu na mawakili kisha viongozi wa chama chenu wapeleke orodha hiyo ya mawakala wenu mapema ofisi za tume ya uchaguzi.
 
Hiyo ni kazi bure hata wakiapishwa.

Huwa ni hivi zamani walikuwa wakijumlisha kura wanatuma msg nje ..kwamba kituo hiki kura ni hizi.

Siku hizi wanapokonywa simu. Kisha wakiwa wanahesabu kura anakuja ofisa wa polisi anasema unaleta fujo kituoni, unatolewa kwa nguvu unaenda mahabusu.

Huku ukiwaacha CCM,ADC,TLP,CUF wote wanasema wakala wa CDM alileta fujo, karatasi ya majumuisho inakuja CCM 1,400 CDM 34 CUF 60 TLP 14, wanasaini kwisha kazi.

Wakala anatoka mahabusu Baada ya siku 3 na hakuna chochote utafanya.
 
Hiyo ni kazi bure hata wakiapishwa ...
Huwa ni hivi zamani walikuwa wakijumlisha kura wanatuma msg nje ..kwamba kituo hiki kura ni hizi...

Siku hizi wanapokonywa simu ....
Kisha wakiwa wanahesabu kura anakuja ofisa wa polisi anasema unaleta fujo kituoni ...unatolewa kwa nguvu unaenda mahabusu ...

Huku ukiwaacha CCM,ADC,TLP,CUF wote wanasema wakala wa CDM alileta fujo ..karatasi ya majumuisho inakuja CCM 1,400 CDM 34 CUF 60 TLP 14 ...wanasaini kwisha kazi ..

Wakala anatoka mahabusu Baada ya siku 3 na hakuna chochote utafanya
safi saana ndiyo ujuwe kuna dola siyo ufanye fujo kisa cdm uachwe udeke hakuna
 
Yaani wakisema wafunge camera ...mbona polisi watapata shida ..
Hiyo ni mbinu ya kumtoa wakala ...ili ufanyike umafia
 
Sehemu mojawapo ambayo vyama vya upinzani huwa vinakuwa na malalamiko makubwa wakati wa uchaguzi ni figusu katika uapishwaji wa mawakala wa kusimamia kura za wagombea katika uchaguzi.

Nilitegemea CHADEMA kudai mawakala wawe wanaapishwa na maafisa wa mahakama kwa maana ya majaji, mahakimu na mawakili kisha viongozi wa chama chenu wapeleke orodha hiyo ya mawakala wenu mapema ofisi za tume ya uchaguzi.
Umewapa wazo watalifanyia kazi... Erythrocyte
 
Hiyo ni kazi bure hata wakiapishwa ...
Huwa ni hivi zamani walikuwa wakijumlisha kura wanatuma msg nje ..kwamba kituo hiki kura ni hizi...

Siku hizi wanapokonywa simu ....
Kisha wakiwa wanahesabu kura anakuja ofisa wa polisi anasema unaleta fujo kituoni ...unatolewa kwa nguvu unaenda mahabusu ...

Huku ukiwaacha CCM,ADC,TLP,CUF wote wanasema wakala wa CDM alileta fujo ..karatasi ya majumuisho inakuja CCM 1,400 CDM 34 CUF 60 TLP 14 ...wanasaini kwisha kazi ..

Wakala anatoka mahabusu Baada ya siku 3 na hakuna chochote utafanya
Kama hakutakuwa na mabadiliko sipigi kura mwaka huu na mwaka kesho(Uchaguzi ukiwa huru na haki asubuhi tuuu(Mwamba voice)
 
Sehemu mojawapo ambayo vyama vya upinzani huwa vinakuwa na malalamiko makubwa wakati wa uchaguzi ni figusu katika uapishwaji wa mawakala wa kusimamia kura za wagombea katika uchaguzi.

Nilitegemea CHADEMA kudai mawakala wawe wanaapishwa na maafisa wa mahakama kwa maana ya majaji, mahakimu na mawakili kisha viongozi wa chama chenu wapeleke orodha hiyo ya mawakala wenu mapema ofisi za tume ya uchaguzi.
Una hoja ya msingi, lakini tatizo ni la mfumo mzima na sio wapi waapishwe. Hizo mahakama ndio ziliagizwa ziwafunge wapinzani watakaonyesha kupinga uporaji wa uchaguzi. Hata hivyo kama wamekataa mapendekezo mengine, hayo ndio watayakubali?
 
Hiyo ni kazi bure hata wakiapishwa ...
Huwa ni hivi zamani walikuwa wakijumlisha kura wanatuma msg nje ..kwamba kituo hiki kura ni hizi...

Siku hizi wanapokonywa simu ....
Kisha wakiwa wanahesabu kura anakuja ofisa wa polisi anasema unaleta fujo kituoni ...unatolewa kwa nguvu unaenda mahabusu ...

Huku ukiwaacha CCM,ADC,TLP,CUF wote wanasema wakala wa CDM alileta fujo ..karatasi ya majumuisho inakuja CCM 1,400 CDM 34 CUF 60 TLP 14 ...wanasaini kwisha kazi ..

Wakala anatoka mahabusu Baada ya siku 3 na hakuna chochote utafanya

Uko sahihi, yaani chaguzi zetu zinaonyesha kuwa wazungu hawakosei kutuita manyani.
 
..uchaguzi ukiwa wa HAKI mawakala hawahitajiki.

..kwenye nchi zilizostaarabika siku ya kupiga kura kuna vituo havina askari hata mmoja.
 
Back
Top Bottom