Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
- Thread starter
- #321
Nadhani bado watu wanatukuza sana vyama kuliko demokrasia! Kwamba maslahi ya chama yako juu kuliko maslahi ya mtu mmoja na yale ambayo chama inataka basi yainuliwe kuliko kanuni za haki, usawa na heshima. Demokrasia ina gharama na wanaoitaka wawe tayari kulipa gharama yake. Na mojawapo ni haki ya kusema vitu vya kuudhi, kukera, vya kijinga na hata visivyokukubalika. Kama mmoja alivyosema huko nyuma "I might not like what you say, but I'll fight to death for your right to say it!".
Kitila kasema vyema
Regia kasema vyema
Kiranga kasema vyema
WEnye kuunga mkono wamesema vyema
Waliokerwa nao wamesema vyema
the bottom line.. ni kuwa tunaweka mawazo yetu hadharani bila kutishwa, kunyamazishwa au kulazimishwa kusema tofauti ili tukubalike. THats is the price of democracy!
so say what you want to say!; thats the boldness of free speech! But once you say it.. be ready to pay for it!