Mazee ningependa watu wengi zaidi wa vote CHADEMA, only because naamini tunahitaji mabadiliko.
Lakini at the same time siamini kwamba CHADEMA watashinda urais au kuwa na majority ya viti vya bunge. Nisingependa kuona CHADEMA wanashuka chini kutoka asilimia za kura za urais walizopata 2005 (11%) wala kupunguza viti vya bunge.
Lakini for sure CHADEMA nao bado hawako ready for prime time, ndiyo maana naona ni bora kuwe na gradual change, wapate tough love hapa, kama wana moyo wa kujifunza waweze kujifunza, labda 2015 au 2020 wataweza kuchukua nchi with confidence.
sasa tunapo sema nia na mikakati yako unang'aka nini ,you can run but you can't hide.
halafu unajua nini !!!?wewe ndiye yule ahaaaaaaaaaaaa