Elections 2010 Chadema hii kali

Mwongo wewe
cheki hapo chini umsome mnyaki mwenzako. utasutwa

Huyo mzee huwa anafanya biashara ya kuuza kababu kwenye mabasi ya dar-mby/kyela. Anapanda kyela anenda kushuka makambako na jioni anarudi na mabasi hayohayo, wamemzoea wanampandisha bure. Ni muongeaji balaa, kama ndio ameamua kufanya kampeni basi atakua amevuta watu wengi sana. Hongera zake
 
wewe utakuwa lazima mnufaikaji wa epa ama scandal nyinginezo, maana kwenu nyie, dr. Slaa ni maangamizi. Acha kujiharishia kabla ya wakati, ila lazima mtinge mahakamani.

Chadema hoyeeeee! Tanzania mpya hoyeeeeeeeeeeeeeeeee!

yes!
 
Nasikuzote tunasema hiki CHADEMA ni mtandao wa kikatoliki, kampeni zao makanisani, maombi kwa yesu ndio sera zao.

Subirini kama mtashinda kwa maombi, yangekuwa yanasaidia mchungaji Slaa asingekimbia kanisani kukimbilia siasa

Tunataka sera sio maombi. Kumchagua Slaa nikuangamiza nchi !!!

Yesu anawauzi sana na bado. at least sio paedophile!
 
Nasikuzote tunasema hiki CHADEMA ni mtandao wa kikatoliki, kampeni zao makanisani, maombi kwa yesu ndio sera zao.

Subirini kama mtashinda kwa maombi, yangekuwa yanasaidia mchungaji Slaa asingekimbia kanisani kukimbilia siasa

Tunataka sera sio maombi. Kumchagua Slaa nikuangamiza nchi !!!

HE! jamani maneno hayo yanatoka kwa Great Thinker kweli?????? Okay - nadhani ni wale waliofungwa ufahamu wao na wasiotaka mabadiliko - pole sana!!! Heri wanaomwomba Mungu kuliko wale wanaokwenda kuzimu kupewa pete ili kuongoza nchi- Dr. Slaa, Chadema na Watanzania woooooooote wanaotaka mabadiliko wamezikubali sera za Dr. Slaa - PIGA UA GARAGAZA - DR. SLAA FOR PRESIDENT - MPE KURA YAKO 2010 - na maombi ya wengi yakufungue ufahamu wako - wewe pamoja na wengineo wachache walio kama wewe.
 
Wewe utakuwa lazima MNUFAIKAJI wa EPA ama scandal nyinginezo, maana KWENU NYIE, DR. SLAA ni maangamizi. Acha kujiharishia kabla ya wakati, ILA lazima mtinge mahakamani.

CHADEMA hoyeeeee! TANZANIA MPYA hoyeeeeeeeeeeeeeeeee!

:yield:Nobody could have done it better Logarithm, long live our patriotism, AWAY WITH CCM, AWAY WITH RELIGION SEGREGATION! :yield:
 
Akiingia huwa anawaongoza watu wote sara ya kuombea uchaguzi wa amani then baada ya sara anawaambia watu ujumbe wake ambao ni kuwa CCM imechoka kazi sasa ni zamu ya CHADEMA vinginevyo maisha yataendelea kuwa magumu daily
Mageuzi huanza kwa mtu mmoja mmoja na baadaye kuhamia mtaani na baadaye kijiji halafu kata, Taafa wilaya baadaye mkoa na nchi nzima...........................kwa hiyo huo ni mwamko mzuri wa kuwajengea wajukuu wetu mazingira mazuri ya kuishi..............
 
Bull ivi mtu akiombea uchaguzi uwe wa amani ni nongwa?
 
Nasikuzote tunasema hiki CHADEMA ni mtandao wa kikatoliki, kampeni zao makanisani, maombi kwa yesu ndio sera zao.

Subirini kama mtashinda kwa maombi, yangekuwa yanasaidia mchungaji Slaa asingekimbia kanisani kukimbilia siasa

Tunataka sera sio maombi. Kumchagua Slaa nikuangamiza nchi !!!

Yaani hadi umekuwa Seinor Expert Member wa JF bado una mawazo magando hivi? I hope haijatoka rohoni mwako kabisa. May be ni ushabiki kama vile usingependa Simba ifungwe na Yanga au Vise versa na ukaja na hoja kuwa walitumia uchawi ndio maana timu yako ikafungwa. Elewa kwamba mustakabadhi wa nchi ni bora kuliko ulivyoongea hapo juu
 
Mwangalieni huyu bull umetumwa? Kwani kumuomba mungu ni kosa? Hakuna aliyemtaja yesu humu mbona unakuwa mshabiki maandazi wewe.shame on you.
nasikuzote tunasema hiki chadema ni mtandao wa kikatoliki, kampeni zao makanisani, maombi kwa yesu ndio sera zao.

Subirini kama mtashinda kwa maombi, yangekuwa yanasaidia mchungaji slaa asingekimbia kanisani kukimbilia siasa

tunataka sera sio maombi. Kumchagua slaa nikuangamiza nchi !!!
 
Kuna baadhi ya maeneo ya Tanzania kuna watu wanafanya kampeni very creative.
Kuna mzee huwa anapanda daladala toka Kyela anakuja nayo mpaka boda/Kasumulu na kushuka.
Akiingia huwa anawaongoza watu wote sara ya kuombea uchaguzi wa amani then baada ya sara anawaambia watu ujumbe wake ambao ni kuwa CCM imechoka kazi sasa ni zamu ya CHADEMA vinginevyo maisha yataendelea kuwa magumu daily.

Huyo malafyale anachanganya dini na siasa.

CHADEMA msichanganye dini na siasa au ndo sera yenu iliyojificha?
 
Nasikuzote tunasema hiki CHADEMA ni mtandao wa kikatoliki, kampeni zao makanisani, maombi kwa yesu ndio sera zao.

Subirini kama mtashinda kwa maombi, yangekuwa yanasaidia mchungaji Slaa asingekimbia kanisani kukimbilia siasa

Tunataka sera sio maombi. Kumchagua Slaa nikuangamiza nchi !!!

Swadakta. Huo mtandao mtakatifu wa kanisa kumweka madarakani Padri Slaa.

Sijui lakini kama watafanikiwa kwani hata akinawa ali
 
huyu jamaa anamatatizo ya akili...ALIYESEMA CHADEMA NI CHAMA CHA KIDINI NANI???WOTE mlioiba pesa za walipa kodi mwisho wa kuishi kwenye hili taifa ni tarehe 31/10/10...atakapotinga ikulu mjenzi makini wa taifa Dr WILBROAD SLAA...Wote mahakamani...ila nashauri muanze jichimbia your own grave!!!
 
Samahani ndg wajumbe, hivi udini umeingiaje tena hapa, mbona na sie kama watu wasio na nanihii... nini vile? hebu tubaki kwene mada ya muuza kababu na uchaguzi, tuache mambo ya udini na ujing... na mie nimetukana? Mnisamehe
 
ametumia kipawa alichopewa na mungu badala ya kugawa fulana, vilemba, chupi, tisheti na vitambaa vya mafisadi.
 
Back
Top Bottom