Mchoro huu unahusu chama gani cha siasa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,179
11,600
Nikiwa nafuatilia siasa za Tanzania na hata za east africa, huwa nazingatia zaidi tones, emotions, body language, color ya dress code ya muhusika, colar ya background au mapambo ya jukwaa au ukumbi wa mkutano na mwishowe nakua makini kuwazingatia watu wa karibu walioambatana na mwanasiasa muhusika nilie mlenga kumfuatitia na kuskiliza kwa makini ujumbe anaokusudia kuutoa.

Kwenye picha hii kuna ushauri, ujumbe mzito na muhimu sana chama fulani kimepewa na msanii huyu nguli wa sanaa ya michoro na katuni.

Ujumbe wenyewe ni, kwamba chama hiki kinaweza kukwea hadi kufika kinapotaka yaani Ikulu kama kitatumia vizuri nyenzo ya kitabu hicho muhimu kama jahazi ambalo wamelipambania kwa muda mrefu sana, katiba.

Lakini pia chama hiki kinaweza kutumia kijitabu hiki kushuka, kudondoka na kutokomea kusiko julikana iwapo haitatumia vema nyenzo na fursa iliyopo ya mapungufu ya kijitabu hiki ambacho pia ni miongoni mwa agenda zake kubwa, muhimu sana na ya muda mrefu.

Rangi za chama hiki zimetimia katika ukamilifu wake na picha hii ni bendera ya chama hiki cha siasa ikipepea.

Si unajua nazungumzia chama gani?

IMG_20230927_065927.jpg
 
View attachment 2765036
Yaani kuna chama ambacho wanataka kutumia "kijitabu" (kwa mujibu wa mwenye madaraka mmoja) kama ngazi ya kufikia juu wanapopataka.

CHADEMA ni machampioni wa kupigia kelele kila uovu unaofanyika hapa Tanzania kinyume na "kijitabu".
 
Nikiwa nafuatilia siasa za Tanzania na hata za east africa, huwa nazingatia zaidi tones, emotions, body language, color ya dress code ya muhusika, colar ya background au mapambo ya jukwaa au ukumbi wa mkutano na mwishowe nakua makini kuwazingatia watu wa karibu walioambatana na mwanasiasa muhusika nilie mlenga kumfuatitia na kuskiliza kwa makini ujumbe anaokusudia kuutoa.

Kwenye picha hii kuna ushauri, ujumbe mzito na muhimu sana chama fulani kimepewa na msanii huyu nguli wa sanaa ya michoro na katuni.

Ujumbe wenyewe ni, kwamba chama hiki kinaweza kukwea hadi kufika kinapotaka yaani Ikulu kama kitatumia vizuri nyenzo ya kitabu hicho muhimu kama jahazi ambalo wamelipambania kwa muda mrefu sana, katiba.

Lakini pia chama hiki kinaweza kutumia kijitabu hiki kushuka, kudondoka na kutokomea kusiko julikana iwapo haitatumia vema nyenzo na fursa iliyopo ya mapungufu ya kijitabu hiki ambacho pia ni miongoni mwa agenda zake kubwa, muhimu sana na ya muda mrefu.

Rangi za chama hiki zimetimia katika ukamilifu wake na picha hii ni bendera ya chama hiki cha siasa ikipepea.

Si unajua nazungumzia chama gani?

View attachment 2765036
Waziri Mkuu mstaafu mzee Msuya alikwisha kihusisha hicho chama na usomi.
 
Back
Top Bottom