OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Ndiyo Wakuu! Ile kauli kuwa mjinga akijitambua mwelevu upo matatani imedhihirika leo baada ya cdm kuibwaga chini ccm kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali kijiji cha Busulwangilwa kata ya Tabaluka,wilayani Sengerema jirani kwao na Ngereja a.k.a Mr Megawat na mbunge wa zamani ndgu Shija. Kwa murejesho huu ni wazi kuwa siku za ccm kuwahadaa watanzania zina hesabika .Uchaguzi ulihusisha vyama vya ccm na cdm. Ndgu zangu wanaharakati hii ni hatua kuelekea ukombozi wa pili wa Tanzania tuitakayo coz hapa ni kijijini ndani kabisa but wananchi wameamua na kusema enough is enough. Je mtaji wa ccm vijijini bado upo? Haya ni manyunyu masika yanakuja. MUNGU BARIKI MABADILIKO,MUNGU IBARIKI TANZANIA. Naomba kuwasilisha. Source: Mimi mwenyewe nilikuwepo.