CHADEMA yaendelea kuigalagaza CCM ktk chaguzi ndogo jimbo la Buchosa - Sengerema

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo Wakuu, heshima kwenu.

Katika kutimilika kwa kauli ya "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA ,MWELEVU UPO MATATANI " Kwa mara nyingine tena ccm yaendelea kukalia kuti kavu baada ya kugalagazwa leo jioni kwenye chaguzi mbili za serikali za vijiji vya Kalebezo na Magurukemba jimboni Buchosa, kwa Naibu Waziri wa uchukuzi, Dr Tizeba.

Ngoja Nape na Wasira waendelee kubwabwaja huku vijini ccm haipo i.e ilisha kufa kitambo bado kuzikwa tu 2015. Hivi kwa murejesho huu bado mtaji wa ccm vijijini upo? Takwimu ntaweka baadae wakubwa.

M4C MWANZO MWISHO.
 
You made my weekend!!umenifariji kidogo kwenye msiba huu wa former secretary wetu,Mungu amrehemu Mh late Bob makani.
 
RIP Magamba mumetutesa sana kwa zaidi ya miaka 50 ngoja na nyinyi muteseke.
 
Safari hii msimu hauna likizo. Nao wamebuni kugawa sanda misikitini, hahahaa, kufa wafe wao, sanda wawagawie wengine.
 
people's voice is God's voice.....nawamba wana JF twende mbali zaidi kimkakati wa kutoa elimu dunia ya ukombozi katika jamii zetu zinazotuzunguka popote pale about the second rebaration of our country.....najua mapambano hayatakuwa rahisi kwani watawala wanajua kuwa tutajenga segerea kila wilaya kuakikisha kuwa matapeli wa nchi yetu wanalipa kila tone la dhuruma,chuki waliyoifanyia jamii ya watanzania......personal sikuwa political animal bt baada ya ****** na vibaraka wake kupandikiza chuki,udini na ukabira katika nchi yetu i hate them with all my heart.....go CDM....
 
Vijiji vya Kalebezo na Magulukenda vyote viko kata ya Kalebezo jimbo la Buchosa Wilayani Sengerema na ndipo CDM ikawagaraza mafisadi ktk uchaguzi ulifanyika hapo vijijini leo.

Viva Chama makini kwa wanainchi wake!
 
Watanzania wameamka sasa, tuendelee kuwahamasisha ndugu zetu, jamaa na marafiki walio mbalia wanahadaiwa na tshirts na kofia




"Choose GWANDA or die in GAMBA"
 
habari njema sana izi....acha niongeze castle ya baridi PEEEEPOZ POWEERRR!!
Ivi munajisikiaje mkisikia habari za ukombozi zimefika vijijini......m4c mpaka IKULU
 
yaani siku hizi chadema raha kila kukicha unapata habari njema tu..mungu ibariki chadema, mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom