Mwanza:sambamba na ushindi kirumba,cdm yashinda m/kiti kijiji-nyehunge,sengerema.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo Wakuu ! Ule usemi usemao mjinga akijitambua,mwerevu upo matatani umetimia jumapili nextweek baada ya cdm kuibwaga ccm kwenye uchaguzi wa mwenyekti wa kijiji Nyehunge,wilaya Sengerema,MWANZA. Hivi kwa murejesho huu bado ccm wana mtaji vijini? Mie binafsi napata utata baada ya Mh Ngereja kukaririwa na vyombo vya habari akidai amevunja ngome ya cdm kanda ya ziwa. CCM ya watanzania wakulima na wafanyakazi ili kwenda na Mwl Nyerere,kilichopo ni kama DANGULO tu ambamo wezi,wanyang'anyi,majambazi,vibaka,mafisadi etc wana ambiwa WELCOME TO THE WORLD. Naomba kuwasilisha.
 
Yani sasa hivi hata Uchaguzi wa Uenyekiti wa familia ya Kikwete CHADEMA tunashinda!
 
Yani sasa hivi hata Uchaguzi wa Uenyekiti wa familia ya Kikwete CHADEMA tunashinda!
 
mmmmmmmmmmh!!!! asante kwa taarifa, isingekuwa ni gharama, ningeomba jk avunje bunge turudie uchaguzi afu tuone wabunge wangapi wa ccm watarudi bungeni!!
 
Je na huko alikuwako Lusinde! CCM mmeshachokwa msitake kumsingizia Lusinde kwamba ndiye aliyewakosesha ushindi. HAMPENDWI TENA WATU WAMEWASTUKIA WEZI!
 
Kweli mkuu, nimekosea , I meant last week. Naomba iwekwe kwenye kumbukumbu sahihi. Compaign zilifungwa na Mh Wenje jumamosi iliyopita,uchaguzi kesho yake jpili sambamba na chaguzi zingine ndogondogo.
 
edit habari yako mkuu halafu tunaomba ulete habari kamili. tuambie kila kijiji jina lake na kura mshindi alizopata na jina lake pia ili tuweke kumbukumbu vizuri.
 
Back
Top Bottom