Dr Slaa kuendelea kubomoa ngome ya Ngeleja (Sengerema) leo

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu!

Leo hii kauli ya mjinga akijitambua mwerevu upo matatani inakwenda kutimia leo hii Sengerema pale Dr Slaa atakapo kuwa anahutubia mkutano ktk ziara yake kanda ya ziwa akitokea geita.

Katika msafara wake yupo kamanda Lema,Diwani Alophonce Mawazo,aliye hama ccm-arusha mjini, Madiwani wawili kata za nyampulukano na Lugata Mr Tabasamu and Tizeba respectively. Kubwa linalotarajiwa ni kuwa wapo madiwani 4 na wenyeviji wa vitongoji 21 kuhamia cdm leo. Ndo navuka Busisi ferry kuelekea sengerema mjini ili kushuhudia anguko la ccm sengerema.

Hivyo Wana Jf na ahidi ku up date kwa kile kitakacho kuw a kinajiri. Iam very serious on this matter coz nimeamua kuacha vipindi vyangu chuo kama mchango wangu kuelekea Tanzania tuitakayo. Salaam zimufikie Ngereja ktk kpindi kgumu hiki kwake na chama chake.

MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI M4C
 
lema alikulia na kusoma geita ukikutana nae muulize mbona hajahutubia kasamwa wakati wanaelekea sengerema?
 
Safi sana Dr Slaa pamoja na kamanda Lema,endeleeni kuiangamiza CCM maeneo yote mnayotembelea na kufanya mikutano.Watanzania tulio wengi tumeichoka ccm.
 
Tukko tunasubiri matokeo ya mkutano lazima yatakuwa na mafanikio.
 
lema alikulia na kusoma geita ukikutana nae muulize mbona hajahutubia kasamwa wakati wanaelekea sengerema?
Uko sahihi mkuu, wote wawili Lema na Mawazo ni product ya Geita Secondary enzi hizo ikiwa chini ya bodi ya wakulima wa Pamba Mwanza hivyo wanafahamiana na kuijua vizuri sana kanda ya ziwa Kasamwa na Sengerema inclusive!
 
Ndiyo wakuu!

Leo hii kauli ya mjinga akijitambua mwerevu upo matatani inakwenda kutimia leo hii Sengerema pale Dr Slaa atakapo kuwa anahutubia mkutano ktk ziara yake kanda ya ziwa akitokea geita.

Katika msafara wake yupo kamanda Lema,Diwani Alophonce Mawazo,aliye hama ccm-arusha mjini, Madiwani wawili kata za nyampulukano na Lugata Mr Tabasamu and Tizeba respectively. Kubwa linalotarajiwa ni kuwa wapo madiwani 4 na wenyeviji wa vitongoji 21 kuhamia cdm leo. Ndo navuka Busisi ferry kuelekea sengerema mjini ili kushuhudia anguko la ccm sengerema.

Hivyo Wana Jf na ahidi ku up date kwa kile kitakacho kuw a kinajiri. Iam very serious on this matter coz nimeamua kuacha vipindi vyangu chuo kama mchango wangu kuelekea Tanzania tuitakayo. Salaam zimufikie Ngereja ktk kpindi kgumu hiki kwake na chama chake.

MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI M4C

watu wa aina yako ndo tunaowahitaji ili kuikomboa nnchi hii. Utimize ahadi update please
 
picha.mkuu.sijui imekuwaje siku hz.hapa jamvini.picha za mikutano ya cdm.hakuna.wekeni picha tu.hata bila ya maneno.nitafunga kazi zangu mapema.nikamalizie kuku wa jana.magamba 8.yanatimuliwa.si kwa masilah ya ccm .bl ya nchi!
 
Naomba mwenye ule muziki wa Chadema mambo mudundo atuwekee hapa, maana Makamanda wananipa raha raha tupu, maana saa ya ukombozi imefika! Tuwekeeni MAMBO MUDUNDO!
 
Uko sahihi mkuu, wote wawili Lema na Mawazo ni product ya Geita Secondary enzi hizo ikiwa chini ya bodi ya wakulima wa Pamba Mwanza hivyo wanafahamiana na kuijua vizuri sana kanda ya ziwa Kasamwa na Sengerema inclusive!
mkuu tunafuatilia kwa karibu tukipata picha itakuwa njema zaidi
 
Hii inatia moyo sana,waktoka huko waje na huku magu,tnamjinga mmoja huku anaitwa limbu,yani ful upumbavu..makamanda mpo juu. P'poz power..forever and for always
 
Kumbe kuna madiwani 4 wa ccm ambao leo hii watahamia CDM.
Kweli hayo ni matokeo ya maombi ya PROPHET LEMA ( mandela wa ii).
 
Ndiyo wakuu!

Leo hii kauli ya mjinga akijitambua mwerevu upo matatani inakwenda kutimia leo hii Sengerema pale Dr Slaa atakapo kuwa anahutubia mkutano ktk ziara yake kanda ya ziwa akitokea geita.

Katika msafara wake yupo kamanda Lema,Diwani Alophonce Mawazo,aliye hama ccm-arusha mjini, Madiwani wawili kata za nyampulukano na Lugata Mr Tabasamu and Tizeba respectively. Kubwa linalotarajiwa ni kuwa wapo madiwani 4 na wenyeviji wa vitongoji 21 kuhamia cdm leo. Ndo navuka Busisi ferry kuelekea sengerema mjini ili kushuhudia anguko la ccm sengerema.

Hivyo Wana Jf na ahidi ku up date kwa kile kitakacho kuw a kinajiri. Iam very serious on this matter coz nimeamua kuacha vipindi vyangu chuo kama mchango wangu kuelekea Tanzania tuitakayo. Salaam zimufikie Ngereja ktk kpindi kgumu hiki kwake na chama chake.

MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI M4C

isingekuwa test ya leo najua tungekuwa njia moja,lakini hakuna tatizo mamilioni ya watanzania wapenda haki wanakuombea uwasili salama hapo sengereme,update mhimu sa bila kusahau mapictures
 
Oooh!Chadema ni chama cha msimu(by Jakaya Kikwete)ooh! Chadema ni vifaranga(by Mkapa)ooh!Chadema chama cha kidini(,,,,,______),Leo imekuwaje?Ccm kwa ngonjera nnawaaminia sijui ni nani anawatungia.Chadema mwendo mdundo kiboko ya mafisadi,wananchi Watanzania wenzangu tuijenge nchi yetu kwa umoja.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom