CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

Mkuu ni kweli eti viongozi wawili waandamizi wa Magamba wapo Bagamoyo wakiwanga ili mvua kubwa inyeshe kesho darslamu?
Hahaha..huu mkutano hauna madhara yoyote. Tunawasindikiza tu viongoz wa CDM kusign posho zao za kesho. Tutakuwa tunayasikia yale tuliyoyazoea siku zote cuz always hawa jamaa hawana jipya.
 
Punda haendi bila viboko, umetiwa bakora nini ili ikamilishe idadi ya nyuzi unazotakiwa kizitupia hapa JF?

Blalifakeni, CCM haina chake ni kama mtoto kilizi vile!!!!
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
Huna jipya, nawa miguu ukalale. Ni usiku sana kwa mtoto kama wewe kukesha
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Sasa ndugu Nape, kwa akili yako ya kawaida, hata bila kuipitisha kwenye bomba la maji ukaamini thread hii itawasumbua waungwana kweli?

Mbona umejiaibisha kwa kueleza mbinu zenu mnazofanya kuwarubuni M4C? Hapa umepotea njia, kajaribu NCCR na CUF mlikozoea kuwa vyeo ili muongeze idadi ya washabiki!

Nawapa pole, kumbukeni kuwa, no situation is always permanent! change has come and it is here, don't try to block the way! Let the nature takes its own cause...Cdm is the nature and we are here to guard and support the nature for our future betterment!

Cheers Nape
 
Maumivu ya ung'ookaji wa gamba huanza taratibuuuuu. Teh teh te teh CDM 4 Redemption
 
watu wengine wanachekesha kweli, je zile pesa zinazochangishwa kwenye hii mikutano pia kuna wananchi wanapewa ili waje wajifanye wanaichangia CDM? Je Mzee Sabodo nae pia anapewa pesa ili kuwalaghai CCM na wananchi? sitakaa niamini kuwa CDM wanaweza upuuzi huu ila nikiskia ni CCM basi nitaamin
 
Mkuu unajichanganya,hao vijana uhalisia ni chama ganiutapata jibu kuwa kwa sasa ccm haina vijana
 
miaka kadhaa nyuma hao unaodai ni vijana wa chadema wanaovalishwa tshirt walikuwa wanaiimba ccm leo imekuwaje wakawa wa chadema?au imewatoa nje ya nchi?
ukiwa mwongo usiwe msahaulifu watanzania wote tuliiunga mkono ccm ikatuchangisha fedha mpaka nguvu tukajenga viwanja vya michezo kwa moyo mmoja leo ukiniambia kuna vijana wa chadema sikuamini kwa sababu najua kwa mambo mazuri ccm ilyowafanyia watanzania kwa miaka 50 hakuna mtz atakayekubali kuwa chadema labda uniambie chadema wamewakodi hao vijana kutoka congo la kama ni watanzania basi hawawezi kuwa wamenunuliwa bali ni kweli wanaridisha kadi.
 
Ningeshauri kuwa na muda maalumu wa mtu kuruhusiwa kuanzisha thread kwa kufuata timezone aliyopo maana hizi thread nyingine zinaanzishwa mtu akiwa ndotoni kisha anakimbia anapogundua ni ujinga, haya namtakia ndoto njema asijekojoa tu kitandani
 
Wanatumia mbinu za wale wachungaji wanaojidai kuponesha vilema, kila mkutano vilema wanatupa magongo lakini vilema tuwajuao wote hatumuoni hata mmoja akipona.

Janja sana hii chungaji.

wee jamaa hata siku moja hujawahi kuongea kitu cha maana zaidi ya udini. Sasa kama unataka vilema wote wapone mbona wewe kilema wa akili hujapona?
 
nadhan watanzania tumeanza kuzungumzia mambo yasiyokuwa na maana, maana kama mnaanza kumcritisize mtu aliyetoa ujumbe ili mjue na mnaukataa eti kwakuwa umetolewa na mwana ccm bas hamna maana,
 
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!

kesho wana CCM kujivua gamba na kuhamia cdm ni lazima na hii iko wazi kama operesheni inavyoitwa 'VUA GAMBA, VAA GWANDA'.
Sasa nyie badala ya kutafuta namna ya kunusuru chama chenu nyie mnaibuka na layman solution za kujidanganya.
Hii ni spinning ya kitoto sana bwana green guard.
CCM mmechanganyikiwa mithili ya wajenzi wa babeli.
 
da!kweli CDM kiboko ya ccm,hebu ona polisi wanavyo haha,tiss,Nape na ccm yake,wanahangaika utafikili mwanamke ambaye yupo MP:music::A S cry:
 
Hii thread inatia usingizi lol!. Lazima uwe mpuuzi wa wapuuzi kuandika upuuzi kama uliopo katika huu uzi.

huna jipya, kakojoe halafu ulale na umuombe Mungu akulaze mahali pema motoni. AMEEEEEEEEEN!!
 
Punda haendi bila viboko, umetiwa bakora nini ili ikamilishe idadi ya nyuzi unazotakiwa kizitupia hapa JF?

Blalifakeni, CCM haina chake ni kama mtoto kilizi vile!!!!

dah... Nimekosa kile kitufe cha "like". Nimependa hii kitu "blalifakeni"
 
Back
Top Bottom