Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.
Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya vua gamba vaa gwandwa
Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
Kuna vyanzo vya kuaminika,
Naaimini wewe ni miongoni mwa vyanzo visivyoaminika humu jf.
Kwaiyo huna pointi.
Nimekata tiketi yangu ya championi kesho saa6 mchana nipo dsm kwaajili ya mkutano.
Viva m4c,viva cdm