CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

yaani ccm jamani! Ina maana mmeshindwa kuvumilia moto wa chadema mpaka mkaanza kutoa siri zenu za ndani?
Hizo ni mbinu za magamba acha uchuro punda!
 
Sasa kama hii ni habari ya ki-intelijesia mpelekee Kova ama boss wake Manumba! Na ukaseme CDM wanafanya uchochezi na wanataka kuhatarisha amani ya nchi, tena siyo amani ya CCM.
 
Nadhani mwanzisha mada unajaribu kutuonyesha watanzania kile ambacho nyie Ccm huwa mnafanya katika mikutano mnapotangaza idadi kadhaa ya wanachama wa chama fulani kuhamia Ccm. Asante kwa taarifa yako mkuu.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya "vua gamba vaa gwandwa"

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

We Nape na wenzio utake usitake kadi narudisha na itarushwa kwenye ma-news! Hadanganyiki mtu!
 
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!
 
Mods mpeni haki anayostahiki huyu mwongo!
Hajasoma jf rules huyu!
 
The Horse Haina Shaka kabisa wewe unatokea Lumumba na unajua vizuri mikakati ambayo huwa mnaitumia katika kupaka upepo rangi na hizo mbinu au mikakati siyo ya CDM Hata siku moja hiyo inafanywa ikiratibiwa na watu walifilisika kimawazo.Mikakatii hii mmekuwa mkiitumia katika chaguzi ndogo mbali mbali ila ya Arumeru Mashariki haikuwasaidia coz Mwigulu alikuja na kikundi cha maigizo ambacho ndicho kilikuwa kinafanya hayo unayoyasema ni nashawishika kuhamini kuwa na wewe ulikuwa member kwenye hicho kikundi.
Jipange Sawa Sawa!
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya "vua gamba vaa gwandwa"

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Kubali mabadiliko hata katika akili yako maana vinginvyo utachwa. Sote tunaona kinachoendelea hata bila ya mkutano wa jangwani magamba tunapuputika, kwa hiyo ni vyema kuliko kuendelea kuukataa ukweli NAPE na wenzako mkajipanga ili kujitathmini ni wapi tulio na nini tunahitahiji kufanya ili angalau kuwa na serikali ya mseto vinginvyo hizi siasa za maji taka zimetushinda. Lazima tukubali kaka kama tuna hitaji kulinda nafasi zetu katika chama najua unaelewa vizuri hilo. Kwanza wewe ni kijana na ni vyema kuwaachia siasa za uongo akina wasira siyo wewe.
 
Mtakoma CCM tena 200 kidogo sana na mtajua 2015 kawa waliandaliwa au walijiandaa! CCM imekula kwenu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!

Its obvious vijana watarudisha kama walivofanya wenzao nchi nzima, kwa hiyo hakuna cha siri bali analysis inaonesha mambo yatakua hivo!
 
Mtakoma CCM tena 200 kidogo sana na mtajua 2015 kawa waliandaliwa au walijiandaa! CCM imekula kwenu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!

I agree with you mkuu, forecast yao ndogo sana, labda wamechanganya data hiyo itakua ya wazee wa dsm lakin vijana ni zaidi ya hao!
 
ukitaka kuamini huyu ni nape soma kwenye facebook wall yao ya chama cha mapinduzi
 
Haya ni mazalia ya ccm yaliyobaki na nape akiishiwa pesa za kuwalipeni mtajiunga tu na kambi ya ukombozi.mko wangapi mnaolipwa na nape ?
 
Kweli ccm wamechoka kama wanaweza kushawishiwa na chadema kutowa fulana ambazo wanajuwa kuwa zina kwenda kuwamaliza wenyewe nao wamekubali kuzitowa ili wakamalizwe basi hata nchi hawafaii kuiongoza tena kwani wanaweza kurubuniwa wakawauza hata wananchi wake.
 
Vijana watavua gamba watavaa gwanda,.. C mlisema cha kaskazini kwa hyo hao 200 wametoka kaskazin.,.. Nape kwisha utalopoka sn
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Uchaguzi wa jimbo la igunga mlisema CHADEMA wameingiza makomandoo kutoka nchi nyingi za nje, sasa leo mnatuletea mpya ya jezi, MMefulia
 
Back
Top Bottom